Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Swali lako ni la kijingaKwani mnafanya maandamano kwa ajili ya mabalozi au watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali lako ni la kijingaKwani mnafanya maandamano kwa ajili ya mabalozi au watanzania
Kwaiyo inamaana dar hamna wanachama wa kutosha mpaka mkodi mafuso kutoka kataviWatanzania na Mabalozi, wewe hujiulizi Ikulu ya kwanza Tanzania iko wapi.
Wewe ndo mjinga inamaana chadema katavi hawawezi kuandamana huko katavi mpaka waje waandamane Dar kwani chadema Dar hamna wanachama?Swali lako ni la kijinga
Swali lingine la kijinga !Wewe ndo mjinga inamaana chadema katavi hawawezi kuandamana huko katavi mpaka waje waandamane Dar kwani chadema Dar hamna wanachama?
Nisome vizuri nimesema ya KWANZA.Ipo Dodoma
Katavi Kuna ofisi za UN?Wewe ndo mjinga inamaana chadema katavi hawawezi kuandamana huko katavi mpaka waje waandamane Dar kwani chadema Dar hamna wanachama?
Haya Maandamano yameitishwa na CHADEMA lakini watu wengi wameahidi kuhudhuria hata baadhi ya wana CCM wameahidi kuhudhuria.Kwaiyo inamaana dar hamna wanachama wa kutosha mpaka mkodi mafuso kutoka katavi
Ni kweliHaya Maandamano yameitishwa na CHADEMA lakini watu wengi wameahidi kuhudhuria hata baadhi ya wana CCM wameahidi kuhudhuria.
Hata wewe ndugu Mwananchi karibu sana.
Naunga mkono hoja, Chadema will always find a way kuharibu kitu kizuri walichopanga, utadhani wamerogwa,sasa mnakodisha mabasi ya kazi gani.?Kila mtu snakata tiketi kivyake kama hamjuani vile
Chadema Nguvu ya Umma Nguvu ya Mungu.Tofauti sana , CCM wanasomba watu kwa magari ya bure , hawa wamejilipia wenyewe
Kwanini wasiandame hukohuko mikoani au hamjamini kama mnatosha?Haya Maandamano yameitishwa na CHADEMA lakini watu wengi wameahidi kuhudhuria hata baadhi ya wana CCM wameahidi kuhudhuria.
Hata wewe ndugu Mwananchi karibu sana.
Kwani UN wamewakosea nini mpaka muandame ofisini kwako?Katavi Kuna ofisi za UN?
vikoba - VICOBAMaandamano huwa yanafanyika kila mmoja na eneo lake hilo lenu ni kongamano la vikoba kwenda kugawana gawio hospital ya muhimbili na mwananyamala moi kitengo cha mifupa ondoeni wagonjwa waliopata nafuu tupokee wapya!
Nimeshakujibu lakini naona uelewa wako ni mdogo sanaKwanini wasiandame hukohuko mikoani au hamjamini kama mnatosha?
Nyie ndo uelewa wenu mdogo kwanini mbebane kwenye mafuso mje wote Dar imaana chadema mlipo dar hamtoshiNimeshakujibu lakini naona uelewa wako ni mdogo sana
Unaongea kishabiki hili swala halihitaji ushabiki.Nyie ndo uelewa wenu mdogo kwanini mbebane kwenye mafuso mje wote Dar imaana chadema mlipo dar hamtoshi
Hoja yako ina mashiko. Kwenye nchi kama Tanzania ambayo serikali inafanya kila hujuma, jambo kama hili ndilo linatakiwa kufanyika.Kila mtu snakata tiketi kivyake kama hamjuani vile