Pre GE2025 Mabasi ya Mikoani yaliyopata kazi ya kusafirisha Wanachama wa CHADEMA kuelekea Dar yasihujumiwe

Pre GE2025 Mabasi ya Mikoani yaliyopata kazi ya kusafirisha Wanachama wa CHADEMA kuelekea Dar yasihujumiwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwaiyo inamaana dar hamna wanachama wa kutosha mpaka mkodi mafuso kutoka katavi
Haya Maandamano yameitishwa na CHADEMA lakini watu wengi wameahidi kuhudhuria hata baadhi ya wana CCM wameahidi kuhudhuria.

Hata wewe ndugu Mwananchi karibu sana.
 
Haya Maandamano yameitishwa na CHADEMA lakini watu wengi wameahidi kuhudhuria hata baadhi ya wana CCM wameahidi kuhudhuria.

Hata wewe ndugu Mwananchi karibu sana.
Kwanini wasiandame hukohuko mikoani au hamjamini kama mnatosha?
 
Maandamano huwa yanafanyika kila mmoja na eneo lake hilo lenu ni kongamano la vikoba kwenda kugawana gawio hospital ya muhimbili na mwananyamala moi kitengo cha mifupa ondoeni wagonjwa waliopata nafuu tupokee wapya!
vikoba - VICOBA
muhimbili - Muhimbili
moi -MOI

vilaza mna boa sana.
 
Mimi naishauri serikali isiwaue waandamaji ila iwageuzi viwete Hawa wale wanaobebwa kwenye mafuso kuja Dar kuharibu amani ila iwanusuru wale wa Dar tu maana ni haki yao
 
Back
Top Bottom