Pre GE2025 Mabasi ya Mikoani yaliyopata kazi ya kusafirisha Wanachama wa CHADEMA kuelekea Dar yasihujumiwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna atayebebwa kwenye Fuso watu watakuja kwa usafiri wa Umma na watajilipia nauli.

Nyote mwakaribishwa
Sio kweli mnaokoteza watu waje waandamane Dar kisha changamoto zao za kimaisha
 
Chama chao kilieleza kwamba Maandamano hayo yataishia ofisi za UN , So how you walk on foot from Katavi , Kyela , Nachingwea , Ukerewe etc to reach UN office in Dar es Salaam ?
How you walk on foot from Katavi,Kyela,Nachingwea, Ukerewe etc to reach UN office in Dar es Salaam.🤣🤣
Andika kiswahili. Kiingereza kibovu.Hili jinga nalo ni think tank ya Chadema!
 
Sio kweli mnaokoteza watu waje waandamane Dar kisha changamoto zao za kimaisha
Hatuokotezi Mtu tumeitisha Maandamano kuhusu changamoto sote tunazo lakini sio jambo la kukata tamaa.

Karibu kwenye Maandamano ya Amani ndugu.
 
Hakuna atayebebwa kwenye Fuso watu watakuja kwa usafiri wa Umma na watajilipia nauli.

Nyote mwakaribishwa
Siku nyingine muache kuwasema CCM wanapowasafirisha wanachama wao kwenda kwenye mikutano. Mnachokifanya ni hichohicho. Nyie ni CCM B kimatendo.
 
Hakuna mtu atasafirishwa kwenye FUSO kama Mifugo kama wafanyavyo Chama kilichopoteza ushawishi cha CCM.

Watu watapanda Mabasi na wengine watakuja na usafiri wao Binafsi.

Nyote mwakaribishwa.
 
Hao ni wafanya vurungu haiwezekani mnywe double kiki zenu mtoke kigoma mje muandame Dar better wafanywe viwete maana hawana kazi za kufanya
Your understanding is very limited. You don't grasp the correlation between your life and leadership. It's not your fault, but rather the environment you grew up in has shaped you with a slave mentality
 
How you walk on foot from Katavi,Kyela,Nachingwea, Ukerewe etc to reach UN office in Dar es Salaam.🤣🤣
Andika kiswahili. Kiingereza kibovu.Hili jinga nalo ni think tank ya Chadema!
Hatuhangaiki na Wajinga
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale.

Zaidi ya Mabasi 100 yanadaiwa kukodiwa na Wanachama wa Chadema Nchi Nzima kwa ajili ya kupeleka Wanachama Dar es Salaam kushiriki Maandamano.

Natoa wito kwa LATRA kutojiingiza kwenye mambo ya siasa , wajikite katika masuala yanayowahusu tu .
Vipi kuhusu chakula na malazi
 
Hakuna mtu atasafirishwa kwenye FUSO kama Mifugo kama wafanyavyo Chama kilichopoteza ushawishi cha CCM.

Watu watapanda Mabasi na wengine watakuja na usafiri wao Binafsi.

Nyote mwakaribishwa.
Kwahiyo nyie mmeboresha tu aina ya usafiri?
 
Waondoke kimya kimya wakati wamevunja sheria gani ya nchi hii?
Bora wajionyeshe wazuiliwe au watumie akili waondoke kimyakimya wafanikishe maandamano?
Kutumia akili kufanikisha jambo muhimu ni jambo jema
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale.

Zaidi ya Mabasi 100 yanadaiwa kukodiwa na Wanachama wa Chadema Nchi Nzima kwa ajili ya kupeleka Wanachama Dar es Salaam kushiriki Maandamano.

Natoa wito kwa LATRA kutojiingiza kwenye mambo ya siasa , wajikite katika masuala yanayowahusu tu .
Wana Bima? Ningekuwa Rais ningewakomesha

View: https://twitter.com/MwanaHabariNews/status/1747973247159747029?t=GU6GFGmGpvbPl9R6C69kmA&s=19
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom