much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Sio kweli mnaokoteza watu waje waandamane Dar kisha changamoto zao za kimaishaHakuna atayebebwa kwenye Fuso watu watakuja kwa usafiri wa Umma na watajilipia nauli.
Nyote mwakaribishwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli mnaokoteza watu waje waandamane Dar kisha changamoto zao za kimaishaHakuna atayebebwa kwenye Fuso watu watakuja kwa usafiri wa Umma na watajilipia nauli.
Nyote mwakaribishwa
How you walk on foot from Katavi,Kyela,Nachingwea, Ukerewe etc to reach UN office in Dar es Salaam.🤣🤣Chama chao kilieleza kwamba Maandamano hayo yataishia ofisi za UN , So how you walk on foot from Katavi , Kyela , Nachingwea , Ukerewe etc to reach UN office in Dar es Salaam ?
Hatuokotezi Mtu tumeitisha Maandamano kuhusu changamoto sote tunazo lakini sio jambo la kukata tamaa.Sio kweli mnaokoteza watu waje waandamane Dar kisha changamoto zao za kimaisha
Kama huwezi kuelewa comment yangu hutakaa uelewe hata nikiendelea kufafanuaKimya kimya kwani wanavunja sheria gani ?
Siku nyingine muache kuwasema CCM wanapowasafirisha wanachama wao kwenda kwenye mikutano. Mnachokifanya ni hichohicho. Nyie ni CCM B kimatendo.Hakuna atayebebwa kwenye Fuso watu watakuja kwa usafiri wa Umma na watajilipia nauli.
Nyote mwakaribishwa
Hakuna mtu atasafirishwa kwenye FUSO kama Mifugo kama wafanyavyo Chama kilichopoteza ushawishi cha CCM.Siku nyingine muache kuwasema CCM wanapowasafirisha wanachama wao kwenda kwenye mikutano. Mnachokifanya ni hichohicho. Nyie ni CCM B kimatendo.
Mabasi ni mengi sana, wasivae sare, wasikodi gari la pamoja, vinginevyo kamwe Dar hawatakanyaga, ujue watazuiliwaWaondoke kimya kimya? Wapande guta?
Your understanding is very limited. You don't grasp the correlation between your life and leadership. It's not your fault, but rather the environment you grew up in has shaped you with a slave mentalityHao ni wafanya vurungu haiwezekani mnywe double kiki zenu mtoke kigoma mje muandame Dar better wafanywe viwete maana hawana kazi za kufanya
Hatuhangaiki na WajingaHow you walk on foot from Katavi,Kyela,Nachingwea, Ukerewe etc to reach UN office in Dar es Salaam.🤣🤣
Andika kiswahili. Kiingereza kibovu.Hili jinga nalo ni think tank ya Chadema!
Hakika chadema ni mpango wa mungu
Ukisema zaidi ya 100 maana yake ni kati ya 100-150Unaambiwa ni zaidi ya 100 wewe unazidisha mara 100 !
Vipi kuhusu chakula na malaziTaarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale.
Zaidi ya Mabasi 100 yanadaiwa kukodiwa na Wanachama wa Chadema Nchi Nzima kwa ajili ya kupeleka Wanachama Dar es Salaam kushiriki Maandamano.
Natoa wito kwa LATRA kutojiingiza kwenye mambo ya siasa , wajikite katika masuala yanayowahusu tu .
Hilo jinga halitakuelewa.Huyo ndio think tank hawa wengine unategemea nini?Ukisema zaidi ya 100 maana yake ni kati ya 100-150
150×54=8100 bado tabu ipo pale pale
Karibu sanaHilo jinga halitakuelewa.Huyo ndio think tank hawa wengine unategemea nini?
Kwahiyo nyie mmeboresha tu aina ya usafiri?Hakuna mtu atasafirishwa kwenye FUSO kama Mifugo kama wafanyavyo Chama kilichopoteza ushawishi cha CCM.
Watu watapanda Mabasi na wengine watakuja na usafiri wao Binafsi.
Nyote mwakaribishwa.
Bora wajionyeshe wazuiliwe au watumie akili waondoke kimyakimya wafanikishe maandamano?Waondoke kimya kimya wakati wamevunja sheria gani ya nchi hii?
Karibu kwenye Maandamano ya Amani ndugu Mtanzania.Kwahiyo nyie mmeboresha tu aina ya usafiri?
Wana Bima? Ningekuwa Rais ningewakomeshaTaarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale.
Zaidi ya Mabasi 100 yanadaiwa kukodiwa na Wanachama wa Chadema Nchi Nzima kwa ajili ya kupeleka Wanachama Dar es Salaam kushiriki Maandamano.
Natoa wito kwa LATRA kutojiingiza kwenye mambo ya siasa , wajikite katika masuala yanayowahusu tu .
Wana Bima? Ningekuwa Rais ningewakomesha
View: https://twitter.com/MwanaHabariNews/status/1747973247159747029?t=GU6GFGmGpvbPl9R6C69kmA&s=19
Haina haja ya kulipwa mtu pesa nawasaga tuu hamuwezi kurudia wakati mwingine.Tukutajie na hela alizolipwa ili kujidhalilisha mtandaoni ?