KERO Mabasi ya Mwendokasi: Hili suala la mimi nakudai chenji wewe unanipa vocha ya VODA, kuna nini hapa?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ndio, inanitoa povu.
Naona harufu ya upuuzi ktk hii kitu. Inakuwaje mimi niwadai 50 wao wanilazimishe nichukue vocha ya 50??
Tikisema vyuma vimebana mnatuona wqpiga dili sisi hamsini hatuna kazi nazo kumbe ccm ndo mnateseka mnajifanya kusifia utawala mmbovu kumbe ndani mnavuja damu...
 
Sasa wewe Kama hautaki vocha ya Tsh.50 c uwe unaenda na pesa kamili. kwani tatizo liko wapi mkuu
Na daladala wakiamua kurudisha chenji kwa vocha za Tigo, utawakatalia vipi? Inanikumbusha kipindi Kile cha miaka ya ujamaa, ilikuwa ukinunua sukari kilo Sharti ununue na unga wa njano kilo. Ukinunua bia sharti thamani ileile ununue nyama choma.unarudi nyumbani umeshiba nyama badala ya bia .
 
Kumbe na wewe unayemsifia bwana yule unakumbana na haya mambo.

Pole, nunua line ya voda ili mambo yawe sawa ukipewa hiyo vocha.

Hii mbinu ya kutuchuna kiaina sana walioianzisha.
Hahahaaaaa
 
Mimi nikajua Wewe ni mteule mwenye V8 yake, kumbe kapuku tu unaeshindana na walalahoi kupanda mwendokasi, dume zima unalilia, shubamit swain kabisa.
 
Tikisema vyuma vimebana mnatuona wqpiga dili sisi hamsini hatuna kazi nazo kumbe ccm ndo mnateseka mnajifanya kusifia utawala mmbovu kumbe ndani mnavuja damu...
Kwa hiyo unataka niwaachie 50, wamenisaidia kuitafuta??
 
Mimi nikajua Wewe ni mteule mwenye V8 yake, kumbe kapuku tu unaeshindana na walalahoi kupanda mwendokasi, dume zima unalilia, shubamit swain kabisa.
Hopeless kabisa, maisha yangu sio theatrical! Ni purely ya mtanzania wa kawaida. Kama wewe umezaliwa na silver spoon, good for you!! Kuupinga kwangu upinzani wa Dj na kumkubali kwangu JPM kusikutoe kwenye reli kufumbia macho yanayoonekana hayako sawa.
Up yours!
 
Na hata ukiwa na VodaCom sasa hicho 50 utakipeleka wapi jaman
 
Sio Upuuzi tu Mkuu,
Huu ni WIZI wa hali ya juu
 
Hahahahah kutetetea kote huko sisiemu hadi leo hujapata hela ya kumiliki hata vespa heheheh.inamaana umeshindwa kumeki buku sabasaba zako ili upate usafiri?.pole sana.
 
Yeah, mwendo kasi vituoni wanazo. 50, 100 ma 200.
Yaani zile hamsini hamsini tulizokuwa tunalalamika tunaziacha sababu "hawana" chenji sasa wanatupatia vocha ya 50 tena wametuchagulia na mtandao wa voda tu.
Hao jamaa vipi, voda ni mtandao wa taifa lazima kila mtu atumie?!
 
Povu la kijani hili linakutoka puani na mdomoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…