barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
- Thread starter
- #81
Baki kijijini mkuu, usije mjini.Basi usiwaongopee watu kama huna hyo picha. iweke hapa kama ushahidi.
Niipige vocha picha ili iweje!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baki kijijini mkuu, usije mjini.Basi usiwaongopee watu kama huna hyo picha. iweke hapa kama ushahidi.
ili uthibitishe unachosema.Baki kijijini mkuu, usije mjini.
Niipige vocha picha ili iweje!
Mwenye picha ya hyo vocha tuione. Maana vocha ya 50 hakuna.
Basi usiwaongopee watu kama huna hyo picha. iweke hapa kama ushahidi.
Kituo gani hapo ulikumbana na hizo vocha mkuu?
Hii kitu nafikiri inakuhusu, wewe ni wa udart au dart au maxcom au voda. Unajua hii ishu vizuri tu. Nimekushtukia.ili uthibitishe unachosema.
Mi nimekushtukia wewe unaewaambia watu kitu ambacho hakipo.Hii kitu nafikiri inakuhusu, wewe ni wa udart au dart au maxcom au voda. Unajua hii ishu vizuri tu. Nimekushtukia.
Nyie jamaa hamuhusiki kweli na hii ishu mnajaribu kuuliza viswali ushwara??
Leo "mmezizuia" hizo chenji za vocha.
Endelea kujitetea.Mi nimekushtukia wewe unaewaambia watu kitu ambacho hakipo.
Crtl+Alt+del.s
shift+delete