Mabasi ya utalii yatua Dar, mabilioni ya fedha yatengwa

Mabasi ya utalii yatua Dar, mabilioni ya fedha yatengwa

..Jiji lina vivutio vingapi vya Watalii?

..Jiji linapokea watalii wangapi ktk vivutio hivyo?

..Sekta ya utalii inachangia kiasi gani ktk mapato ya jiji?

..Ushauri wangu ni madiwani waachane na mpango huo. Wawaachie SEKTA BINAFSI.
 
Manzese , tandale , Tandika, mburahati, mbagala, Keko maana huko ndio maeneo yanayoweza kukupa picha halisi ya Mtanzania na nchi yake inayotajwa kama moja ya nchi fukara duniani.
Vivutio gani vipo hapo
 
Aisee maajabu haya ; utalii wa manzese! Hilo wazo linaakisi kabisa sera za Chadema.
We mwenyewe hapo ni kivutio cha utalii maana lzima waje wakuone maana ubongo wenu una hitilafu

Ova
 
Hii bajeti imefeli kabla ya kuanza kama ilivyokuwa ya 2017/2018. Mbona walisema wanaanza ujenzi wa stand ya Mbezi Luis mwezi July 2017 lakini Hamna kitu wakati huo bajeti walitenga ya 1b? Watuambie kwanza ile ya kwanza imeishia wapi?
 
Back
Top Bottom