Manzese , tandale , Tandika, mburahati, mbagala, Keko maana huko ndio maeneo yanayoweza kukupa picha halisi ya Mtanzania na nchi yake inayotajwa kama moja ya nchi fukara duniani.
Hii bajeti imefeli kabla ya kuanza kama ilivyokuwa ya 2017/2018. Mbona walisema wanaanza ujenzi wa stand ya Mbezi Luis mwezi July 2017 lakini Hamna kitu wakati huo bajeti walitenga ya 1b? Watuambie kwanza ile ya kwanza imeishia wapi?