Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hapa JF sio mahali sahihi pa kum judge mtu either negatively or positively.Mh! ngoja niacha comment yangu maana nakuonaga kwa mbali kama mtu wa busara hapa JF, sasa hili sijui niliweke wapi
Na hapa ndipo mzabzab anaonekana bingwa wa kunyonya papuch katika sekta ya kunyanduanaHapa JF sio mahali sahihi pa kum judge mtu either negatively or positively.
Hapa ni ngomani gia zinaingia na kutoka.
Hapa ndio sehemu tunapata marafiki wapya wa kila aina.
Hapa ndio sehemu ambayo Mshana Jr anatambulika kama nguli wa vibuyu.
Hapa ndio mahali ambapo GENTAMYCINE anaonekana trouble maker.
Hapa ndio JamiiForums
[emoji38][emoji38]Sauli ndio iko mbele pale yaaani hakuna gari ata moja imepita tumekaa tu sijui kuna mkutano, labda anakuja kiongozi kitusalimia na kututakia safari njema.
Mamlaka tunaomba msaada.
Hapa JF sio mahali sahihi pa kum judge mtu either negatively or positively.
Hapa ni ngomani gia zinaingia na kutoka.
Hapa ndio sehemu tunapata marafiki wapya wa kila aina.
Hapa ndio sehemu ambayo Mshana Jr anatambulika kama nguli wa vibuyu.
Hapa ndio mahali ambapo GENTAMYCINE anaonekana trouble maker.
Hapa ndio JamiiForums
Na hapa ndipo mzabzab anaonekana bingwa wa kunyonya papuch katika sekta ya kunyanduana
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Stand na Tamco bado siyo foleni kubwa hiyo wawe na utulivu itatembea punde tu.Hahahahaha foleni inakarabia tamco
🤣🤣🤣🤣🤣Sauli ndio iko mbele pale yaaani hakuna gari ata moja imepita tumekaa tu sijui kuna mkutano, labda anakuja kiongozi kitusalimia na kututakia safari njema.
Mamlaka tunaomba msaada.
Kila Bus hapo mbele upande wa kushoto kwa juu wamebandika namba za simu za makamanda wote wa kikosi cha usalama barabarani. Inaanza namba ya kamanda wao mkuu sijui anaitwa Mpinga halafu zinafuata namba za makamanda wa kila mkoa. Pia kuna namba za Latra, hivyo pigeni simu muwaulize tatizo ni nini hasa?? Kuna siku nilikuwa nasafiri na Bus la Majinja kutoka Dar kwenda Katavi, tukafika Sikonge, Tabora, saa mbili usiku na matrafiki wa pale Sikonge wakatuzuia kuendelea na safari mpaka asubuhi. Tulipotaka kujua sababu wakawa wanatupiga chenga. Baadhi ya abiria wakawa wanawatuhumu wafanyabiashara wa hapo Sikonge kwa kula njama na matrafiki ili bus zilale pale na wao wafanye biashara. Tulichofanya tulianza kupiga hizo namba na kubahatika kumpata kamanda mkuu wa kikosi cha usalama barabarani, naye akatuambia ngoja afuatilie kwa wasaidizi wake. Baada ya kama saa moja na nusu (saa 3.30 usiku) tukaruhusiwa na kufika Katavi saa 6.30 usiku.Mabasi yote ya mkoa tupo Kibaha hapa, foleni ni kubwa mno hatujui hata sababu.
Tupo tumekaa tu kwenye magari. Tunaomba msaada vyombo husika, watu tunaenda mbali jamani.
Hapo kwenye Bus kuna namba za makamanda wote wa mikoa wa kikosi cha usalama barabarani.. Pia namba za LatraShuka kwenye gari mfuate askari yoyote kuna operation gani inaemdelea hapo? Atakujibu. Au na wewe ni kama UMUGHAKA GENTAMYCINE, unawaogopa askari, hata wale mambo ukiwaona unajificha?
Kwa muda ulioposti hii mada 5.36am. Bado muda wa mabasi kuruhusiwa kuondoka, hapo sina shaka ilipofika saa 6.00am mliruhusiwa. Hapa inatakiwa wabadili kanuni basi ziruhuhusiwe kuanzia hata 4.00 amSauli ndio iko mbele pale yaaani hakuna gari ata moja imepita tumekaa tu sijui kuna mkutano, labda anakuja kiongozi kitusalimia na kututakia safari njema.
Mamlaka tunaomba msaada.
Mbali huwa ni wapi? Mbona hata Kibaha ni mbali tayari?Mabasi yote ya mkoa tupo Kibaha hapa, foleni ni kubwa mno hatujui hata sababu.
Tupo tumekaa tu kwenye magari. Tunaomba msaada vyombo husika, watu tunaenda mbali jamani.
Huna lolote. Juzi ulikua unahaha kumtoa ndugu yako lock up mpaka ukatoa rushwa ndio tukamuachia.Mkuu Bujibuji Simba Nyamaume Mimi ni Poti Mura,hao mapoti wenzangu wananifahamu vizuri tata![emoji23][emoji23][emoji23]
Imagine, hakuna hata pichaMabasi yote ya mkoa tupo Kibaha hapa, foleni ni kubwa mno hatujui hata sababu.
Tupo tumekaa tu kwenye magari. Tunaomba msaada vyombo husika, watu tunaenda mbali jamani.
Halafu anasema eti wamekaa tu kwenye gari utadhani wao ni betrii.Imagine, hakuna hata picha
Labda kuna operation ya kukagua vithibiti mwendo!Sauli ndio iko mbele pale yaaani hakuna gari ata moja imepita tumekaa tu sijui kuna mkutano, labda anakuja kiongozi kitusalimia na kututakia safari njema.
Mamlaka tunaomba msaada.
Umemaliza kazi, uko sahihi kabisa. JF unaweza kuwa actor wa nafasi yoyte kwenye filamu. Basi umeshindaHapa JF sio mahali sahihi pa kum judge mtu either negatively or positively.
Hapa ni ngomani gia zinaingia na kutoka.
Hapa ndio sehemu tunapata marafiki wapya wa kila aina.
Hapa ndio sehemu ambayo Mshana Jr anatambulika kama nguli wa vibuyu.
Hapa ndio mahali ambapo GENTAMYCINE anaonekana trouble maker.
Hapa ndio JamiiForums
🤣🤣Mbon upo fresh tuuKwa mwandiko huo bora serikali izidi kuwazuia tu usiende kueneza ujinga mikoani