Mabasi yote ya mkoani yamezuiwa hapa Kibaha Stendi, foleni sijawahi kuona na hatujui hata sababu

Mh! ngoja niacha comment yangu maana nakuonaga kwa mbali kama mtu wa busara hapa JF, sasa hili sijui niliweke wapi
Hapa JF sio mahali sahihi pa kum judge mtu either negatively or positively.
Hapa ni ngomani gia zinaingia na kutoka.
Hapa ndio sehemu tunapata marafiki wapya wa kila aina.
Hapa ndio sehemu ambayo Mshana Jr anatambulika kama nguli wa vibuyu.
Hapa ndio mahali ambapo GENTAMYCINE anaonekana trouble maker.
Hapa ndio JamiiForums
 
Na hapa ndipo mzabzab anaonekana bingwa wa kunyonya papuch katika sekta ya kunyanduana

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hapa JF sio mahali sahihi pa kum judge mtu either negatively or positively.
Hapa ni ngomani gia zinaingia na kutoka.
Hapa ndio sehemu tunapata marafiki wapya wa kila aina.
Hapa ndio sehemu ambayo Mshana Jr anatambulika kama nguli wa vibuyu.
Hapa ndio mahali ambapo GENTAMYCINE anaonekana trouble maker.
Hapa ndio JamiiForums

Huwa nashangaa mtu anamjudge mtu kwa maandishi ya Jf

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sauli ndio iko mbele pale yaaani hakuna gari ata moja imepita tumekaa tu sijui kuna mkutano, labda anakuja kiongozi kitusalimia na kututakia safari njema.

Mamlaka tunaomba msaada.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mabasi yote ya mkoa tupo Kibaha hapa, foleni ni kubwa mno hatujui hata sababu.

Tupo tumekaa tu kwenye magari. Tunaomba msaada vyombo husika, watu tunaenda mbali jamani.
Kila Bus hapo mbele upande wa kushoto kwa juu wamebandika namba za simu za makamanda wote wa kikosi cha usalama barabarani. Inaanza namba ya kamanda wao mkuu sijui anaitwa Mpinga halafu zinafuata namba za makamanda wa kila mkoa. Pia kuna namba za Latra, hivyo pigeni simu muwaulize tatizo ni nini hasa?? Kuna siku nilikuwa nasafiri na Bus la Majinja kutoka Dar kwenda Katavi, tukafika Sikonge, Tabora, saa mbili usiku na matrafiki wa pale Sikonge wakatuzuia kuendelea na safari mpaka asubuhi. Tulipotaka kujua sababu wakawa wanatupiga chenga. Baadhi ya abiria wakawa wanawatuhumu wafanyabiashara wa hapo Sikonge kwa kula njama na matrafiki ili bus zilale pale na wao wafanye biashara. Tulichofanya tulianza kupiga hizo namba na kubahatika kumpata kamanda mkuu wa kikosi cha usalama barabarani, naye akatuambia ngoja afuatilie kwa wasaidizi wake. Baada ya kama saa moja na nusu (saa 3.30 usiku) tukaruhusiwa na kufika Katavi saa 6.30 usiku.
 
Sauli ndio iko mbele pale yaaani hakuna gari ata moja imepita tumekaa tu sijui kuna mkutano, labda anakuja kiongozi kitusalimia na kututakia safari njema.

Mamlaka tunaomba msaada.
Kwa muda ulioposti hii mada 5.36am. Bado muda wa mabasi kuruhusiwa kuondoka, hapo sina shaka ilipofika saa 6.00am mliruhusiwa. Hapa inatakiwa wabadili kanuni basi ziruhuhusiwe kuanzia hata 4.00 am
 
Mabasi yote ya mkoa tupo Kibaha hapa, foleni ni kubwa mno hatujui hata sababu.

Tupo tumekaa tu kwenye magari. Tunaomba msaada vyombo husika, watu tunaenda mbali jamani.
Mbali huwa ni wapi? Mbona hata Kibaha ni mbali tayari?
 
Mabasi yote ya mkoa tupo Kibaha hapa, foleni ni kubwa mno hatujui hata sababu.

Tupo tumekaa tu kwenye magari. Tunaomba msaada vyombo husika, watu tunaenda mbali jamani.
Imagine, hakuna hata picha
 
Sauli ndio iko mbele pale yaaani hakuna gari ata moja imepita tumekaa tu sijui kuna mkutano, labda anakuja kiongozi kitusalimia na kututakia safari njema.

Mamlaka tunaomba msaada.
Labda kuna operation ya kukagua vithibiti mwendo!
 
Hapa JF sio mahali sahihi pa kum judge mtu either negatively or positively.
Hapa ni ngomani gia zinaingia na kutoka.
Hapa ndio sehemu tunapata marafiki wapya wa kila aina.
Hapa ndio sehemu ambayo Mshana Jr anatambulika kama nguli wa vibuyu.
Hapa ndio mahali ambapo GENTAMYCINE anaonekana trouble maker.
Hapa ndio JamiiForums
Umemaliza kazi, uko sahihi kabisa. JF unaweza kuwa actor wa nafasi yoyte kwenye filamu. Basi umeshinda
 
Back
Top Bottom