Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hapa JF sio mahali sahihi pa kum judge mtu either negatively or positively.Mh! ngoja niacha comment yangu maana nakuonaga kwa mbali kama mtu wa busara hapa JF, sasa hili sijui niliweke wapi
Hapa ni ngomani gia zinaingia na kutoka.
Hapa ndio sehemu tunapata marafiki wapya wa kila aina.
Hapa ndio sehemu ambayo Mshana Jr anatambulika kama nguli wa vibuyu.
Hapa ndio mahali ambapo GENTAMYCINE anaonekana trouble maker.
Hapa ndio JamiiForums