Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Paul makonda wakati akiwa mkuu wa mkoa dar es salaamKitafutwe kituo cha daladala za njia zote palepale nje tu kidogo ya stendi ya magufuli ambako hata mgonjwa anaweza kwenda kupanda daladala yake kwenda anakoelekea. hata pale Airport kuna kituo cha mwendokasi kwa asiyeweza kuchukua Taxi. Hata hivyo majiji yote ni sehemu ghali kwa wakazi wake. Sisi hapa Dar hata sh.100 unaweza kupata pande kubwa la mhogo wa kukaanga ukanywa maji ya kandoro ya 100 ukashinda siku nzima bila wasiwasi. Jiji la namna hii hailiishi changamoto ya msongamano na uchafu.
Saw mpiga debeHapa ndy serikali imepotea.
Nimesikia kwamba kuna baadhi ya mabus yenye kibali cha kupakia na kushusha abiria mjini.
Serikali ufute vibali vyote na iweke ni amri mabus yote yashushe na kupakia Magufuli terminal
Wala Sijachanganya train na mabasi, naongelea vituo mkuu. Kuwa na central station haimaanishi hakuna stations.Acha kuchanganya madesa, Train na mabasi. Mabasi uwa yana kituo kimoja kikuu kwa mabasi yote ya mikoani, nimeishi majiji mengi duniani ndio hivyo na hata uwe unaishi sehemu ya mbali na hicho kituo kikuuu lazima ukifate ili upate usafiri unapotaka kwenda kwa kidhungu wanaita "Central Station" unakuta mabasi yote ya mikoani yamepaki hapo. Train hio ni habari nyingine haihusiani na mabasi tunaweza kuifungulia uzi wake.
Nchi karibu zote za Europe na US , mabasi hayapakii abiria kwenye ofisi zao. Business inaanzia kwenye station kuu, vituo vingine ni vile vilivyoko kwenye njia gari linakoelekea basi, na mwisho wa safari kwenye kituo kikuu pia. Kituo kikuu ni kimoja tu cha kuchukulia abiria kuanza safari za mikoani.Wala Sijachanganya train na mabasi, naongelea vituo mkuu. Kuwa na central station haimaanishi hakuna stations.
Mabasi yana hadi vituo private kwenye ofisi zao, wanaweza kulazimika kuingia stand kuu kama protocol tu lakini hawalazimiki kupakia na kushusha hapo bila uhitaji wa abiria[Demand]. Hoja yangu ni serikali itengeneze demand, mabasi yanafata pesa.
Sijui kwa nchi ulizotembelea, labda uiseme tuichunguze, kwanini hawaruhusiwi kuwa na stations?
Zama hizi za biashara na kuwa flexible unapendekeza kurudisha watu nyuma miaka ya 90? Kwanini? Ticketing mifumo inahamia online ujue?Serikali ufute vibali vyote na iweke ni amri mabus yote yashushe na kupakia Magufuli terminal
Hilo Bara ulilotaja wana uwezo mkubwa sana wa city plan. Abiria wanahitaji kuingia stand kuu, hawalazimiki kupandia au kushukia stand kuu.vituo vingine ni vile vilivyoko kwenye njia gari linakoelekea basi.
Usalama wa nchi!?Kaka kwa usalama wa nchi watu wote wanapaswa kuteremkia Magufuli bus stand kwa ukaguzi wa nyaraka badala ya watu kuanza kushukia Bunju, Boko, Kibo, njia 4, kimara mwisho, Shekilango,nk. Hata hawa mungiki waliofanya vurugu oct29 inasemekana walikuja na mabasi hayahaya na kushukia njiani kabla ya kufika stendi ya magufuli.
Lazima pale stendi ya Magufuli kuwe na ofisi na maofisa wa uhamiaji, na scanners za utambuzi.
Kwa usalama wa jiji na nchi watu wote lazima washushiwe Stendi kuu kama vile wanavyoshuka watu Airport na Bandarini na SGR.
So akishuka Kibaha au Chalinze ulinzi unakua umeshapigwa chenga?Kaka kwa usalama wa nchi watu wote wanapaswa kuteremkia Magufuli bus stand kwa ukaguzi wa nyaraka badala ya watu kuanza kushukia Bunju, Boko, Kibo, njia 4, kimara mwisho, Shekilango,nk. Hata hawa mungiki waliofanya vurugu oct29 inasemekana walikuja na mabasi hayahaya na kushukia njiani kabla ya kufika stendi ya magufuli.
Lazima pale stendi ya Magufuli kuwe na ofisi na maofisa wa uhamiaji, na scanners za utambuzi.
Kwa usalama wa jiji na nchi watu wote lazima washushiwe Stendi kuu kama vile wanavyoshuka watu Airport na Bandarini na SGR.
Seriously mkuu? Usalama wa nchi? Mbona dunia inahama huko kabisa kwenye manual security tupo digital. Mifumo tu ya online tickets ikiboreshwa ni security nzuri kuliko kupita geti la stand maana ni database. Halafu tunahitaji camera almost kila sehemu zenye uwezo wa kucapture identity kupitia sura. Huko ndo dunia ipo.Kaka kwa usalama wa nchi watu wote wanapaswa kuteremkia Magufuli bus stand kwa ukaguzi wa nyaraka badala ya watu kuanza kushukia Bunju, Boko, Kibo, njia 4, kimara mwisho, Shekilango,nk. Hata hawa mungiki waliofanya vurugu oct29 inasemekana walikuja na mabasi hayahaya na kushukia njiani kabla ya kufika stendi ya magufuli.
Lazima pale stendi ya Magufuli kuwe na ofisi na maofisa wa uhamiaji, na scanners za utambuzi.
Kwa usalama wa jiji na nchi watu wote lazima washushiwe Stendi kuu kama vile wanavyoshuka watu Airport na Bandarini na SGR.
Watu duniani wanawaza kutengeneza drones zenye ukubwa wa wadudu wadogo na uwezo wa kufanya matukio sisi tuwaze ulinzi kupitia stand manually? Si sahihi.So akishuka Kibaha au Chalinze ulinzi unakua umeshapigwa chenga?
Kidding We are not serious anymoreWatu duniani wanawaza kutengeneza drones zenye ukubwa wa wadudu wadogo na uwezo wa kufanya matukio sisi tuwaze ulinzi kupitia stand manually? Si sahihi.
Not at all.Kidding we are nit
Kidding We are not serious anymore
Tanga ipi? Mbona stendi ya Kange hakuna mabasi?Hapa Tanga walitaka kuleta huo ushamba , wakaona watadekezwa , sasa wanapeleka ..Kama unataka nenda kama hautaki baki kwenu .
Mkuu ili mji uwe well planed lazima kuwe na vitu muhimu kama bus terminals nk.Zama hizi za biashara na kuwa flexible unapendekeza kurudisha watu nyuma miaka ya 90? Kwanini? Ticketing mifumo inahamia online ujue?
Watu wanataka mambo chap chap sio urasimu wa foleni za kutoka na kuingia stand Sababu ni lazima.
Basi linaweza lazimishwa kupita stand lakini si abiria. Abiria mtengenezee uhitaji aamue kuifuata stand kwa uhitaji sio kulazimishwa.
Hili ndy tatizo la kusema kweli..Saw mpiga debe
Ni kweli, na mimi sijapinga uwepo wa stand kuu mkuu, nachosema ni hiyo stand ihitajike na abiria ili mabasi yafuate abiria. Kama stand haiitajiki na abiria ndo mambo kama haya sasa, kulazimisha. Kuhitajika ni rahisi tu, miundombinu ya kutoka na kuingia stand kwa urahisi ikiwemo usafiri wa maeneo mbalimbaliMkuu ili mji uwe well planed lazima kuwe na vitu muhimu kama bus terminals nk.
Haiwezekani Kila mtaa ukajaza ofisi za mabus .
Kote duniani kuna stand maulum za bus na sio kila sehem mtaani..
Nasisitiza jenga au panga kwenye ukanda wa njia ya kwenda kwenu ili kuepuka usumbufu .