Mabeberu kazi kwisha, Rais Magufuli ni kiboko yenu

Umejuaje tatizo la korona ni dogo kulinganisha na mataifa mengine wakati hupimi wala kutoa takwimu za ugonjwa halafu pia umeona ripoti /Twitter ya juzi ya world bank tanzania?

Mkuuu kama tatizo ni kubwa kwenye jamii inayotuzunguka hicho ni kipimo tosha cha kusema Hapa tumevuka ama tumekwama,ila kiukweli Swala la Corona ata kama lipo ila mtaani Kwetu halinaadhara yyte kwa sababu sjashuhudia chochote kuhusu ugonjwa ama taharifa ya mtu kufa kwa Corona.
 
Mie JPM namfananisha sana na Trump, tofauti yao ni rangi na mmoja ana kipara mwengine ana nywele za bandia. Lakini style zao za uongozi na mihemko ya kukurupuka ni sawa sawa.
Mkuu ww ndo una mihemko kwanza kubali hilo,La pili hii nchi tangia imepata Uhuru hatujawai kuona Mafanikio ya kutimiza sera na maendeleo walau ya kiuchumi na kimiundo mbinu kama tunayaona kama hawamu hii Ya TANO!!!,kama utaendelea kubishana sawa,mana ni haki yako kikatiba kubishana ka mkubwaa.
 
Wakati unasifia ujinga je umesikia walichokifanya polisi Arusha kwa raia wema
 
Tumebaki na MITANDAO tu ambayo angalau inathubutu kuhoji, kutoa mawazo mbadala, inakosoa, hayo mnayofanya serikali. BUNGE mmeua. Limekuwa NEC ya CCM. Vyombo vya habari mmevikaba koo. Vingine vimejifia kimyakimya. Upinzani ni kama haupo. Sasa mnatuwinda mitandaoni. Baadaye iweje?
 
Chanzo: data.worldbank.org

Sioni maajabu kwenye suala la uchumi GDP growth rate chart, ni mapenzi yako tuu. Hata wapo wanaompenda Trump vile vile:



Rwanda inaonekana kufanya vizuri zaidi ya TZ:

 

Ndoto za mchana kweupe.

Unategmea mjomba wa mbali aje kukusimamia kuzingatia masharti ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya Corona?
 
M.A.B.E.B.E.R.UπŸ˜€πŸ€’πŸ˜·πŸ€˜πŸ‘Š
 
Kweli mabeberu kwisha kazi!
 
Siamini Mabeberu kama kweli mmefunga ukurasa wa udikteta tz πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
MABEBERU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…