MWAKATA KWETU
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 562
- 319
Beberu ni yule anaenyonya Wanyonge...hiyo ndio tafsiriMabeberu wenyewe ni wakina Vladimir Putin, Malikia Elizabeth, Donald Trump, Justin Trudeau au mabeberu gani unaowazumgumzia apa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Beberu ni yule anaenyonya Wanyonge...hiyo ndio tafsiriMabeberu wenyewe ni wakina Vladimir Putin, Malikia Elizabeth, Donald Trump, Justin Trudeau au mabeberu gani unaowazumgumzia apa
utakapoona karandinga nyumbani ndo utajua kama muda tunapoteza au.......Loh. unapoteza muda wako. Pole
Vitisho vyako peleka huko.utakapoona karandinga nyumbani ndo utajua kama muda tunapoteza au.......
time will tellVitisho vyako peleka huko.
Umejuaje tatizo la korona ni dogo kulinganisha na mataifa mengine wakati hupimi wala kutoa takwimu za ugonjwa halafu pia umeona ripoti /Twitter ya juzi ya world bank tanzania?
Mkuu ww ndo una mihemko kwanza kubali hilo,La pili hii nchi tangia imepata Uhuru hatujawai kuona Mafanikio ya kutimiza sera na maendeleo walau ya kiuchumi na kimiundo mbinu kama tunayaona kama hawamu hii Ya TANO!!!,kama utaendelea kubishana sawa,mana ni haki yako kikatiba kubishana ka mkubwaa.Mie JPM namfananisha sana na Trump, tofauti yao ni rangi na mmoja ana kipara mwengine ana nywele za bandia. Lakini style zao za uongozi na mihemko ya kukurupuka ni sawa sawa.
Tumebaki na MITANDAO tu ambayo angalau inathubutu kuhoji, kutoa mawazo mbadala, inakosoa, hayo mnayofanya serikali. BUNGE mmeua. Limekuwa NEC ya CCM. Vyombo vya habari mmevikaba koo. Vingine vimejifia kimyakimya. Upinzani ni kama haupo. Sasa mnatuwinda mitandaoni. Baadaye iweje?Habari wana jf katika miaka yangu yote ya uhai hapa duniani na uzoefu nilio nao kuhusu awamu mbalimbali za serikali hapa tz yaani kuanzia awamu ya kwanza hadi hii awamu ya ajabu kabisa ya tano, awamu hii ndio imeongoza kwa kuwapuuza, kuwataja sana na hata kuwatukana sana mabeberu kuliko awamu nyingine zote zilizopita na pengine awamu zijazo.
Ni sawa na kusema mabeberu wamepata kiboko yako, sasa na mimi leo ninaomba kuwalaumu na kuwalaani sana hawa mabeberu, kwanza nijuacho mimi ni kwamba mifumo mbalimbali ya serikali za kiafrika hasa tanzania ni matokeo ya hawa mabeberu yaani mfumo wa elimu, sheria, mipaka ya nchi zetu,mifumo ya siasa, demokrasia, dini zetu hasa ukristo,makomandoo wetu wanafundishwa mbinu za kivita na hawahawa mabeberu, sayansi na teknolojia n.k.
Pili wanaendelea kutoa misaada mbalimbali kwa nchi yetu kama vile vidonge vya kupunguza makali ya ukimwi, neti kwa ajili ya kupambana na malaria, chanjo mbalimbali n.k kama nilivyotangulia kusema hii ni mada ya kuwalaumu sana mabeberu kwamba RAISI wetu amekuwa mtu mwenye jeuri asiyependa kushauriwa amevuruga mahusiano yetu, anakanyaga katiba yetu anatupiga ,kutuua na kutupa vilema apendavyo juzi kaharibu chaguzi zetu na kujibakiza madarakani kwa nguvu, nyie mabeberu ni kweli hamna cha kumfanya huyu mtu au na nyie mpo upande wake?
Nchi zenu ,nyie mabeberu ni waathirika wakubwa wa hawa watu aina ya magufuli yaani kina Hitler, Mussolini na wengine kwamba madhara Huwa sio kwa nchi zao tu Bali dunia nzima huathirika pale matokeo ya udikteta yanapojitokeza, kiukweli kabisa simlaumu magufuli kwa haya anayoyafanya bali ninawalaumu nyie mabeberu kwa kuwa mfumo yetu inadharauliwa, inakanyangwa, na inaharibiwa, huku mnachekelea na kuendelea kumsapoti ili aendelee kutunyoosha.
MABEBERU MUNGU ANAWAONA haya yalikuwa mawazo ya kichaa mmoja hivi kutokea ikhanoda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGU mi5tena
NB. Mabeberu msipoingilia kati tz kuhusu janga hili la korona basi tanzania itaangamia hivihivi mbele ya Macho yenu na dunia kwa ujumla
Chanzo: data.worldbank.orgMkuu ww ndo una mihemko kwanza kubali hilo,La pili hii nchi tangia imepata Uhuru hatujawai kuona Mafanikio ya kutimiza sera na maendeleo walau ya kiuchumi na kimiundo mbinu kama tunayaona kama hawamu hii Ya TANO!!!,kama utaendelea kubishana sawa,mana ni haki yako kikatiba kubishana ka mkubwaa.
Wacha weeee !!
...
MABEBERU MUNGU ANAWAONA haya yalikuwa mawazo ya kichaa mmoja hivi kutokea ikhanoda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGU mi5tena
NB. Mabeberu msipoingilia kati tz kuhusu janga hili la korona basi tanzania itaangamia hivihivi mbele ya Macho yenu na dunia kwa ujumla
M.A.B.E.B.E.R.U😤🤒😷🤘👊Habari wana jf katika miaka yangu yote ya uhai hapa duniani na uzoefu nilio nao kuhusu awamu mbalimbali za serikali hapa tz yaani kuanzia awamu ya kwanza hadi hii awamu ya ajabu kabisa ya tano, awamu hii ndio imeongoza kwa kuwapuuza, kuwataja sana na hata kuwatukana sana mabeberu kuliko awamu nyingine zote zilizopita na pengine awamu zijazo.
Ni sawa na kusema mabeberu wamepata kiboko yako, sasa na mimi leo ninaomba kuwalaumu na kuwalaani sana hawa mabeberu, kwanza nijuacho mimi ni kwamba mifumo mbalimbali ya serikali za kiafrika hasa tanzania ni matokeo ya hawa mabeberu yaani mfumo wa elimu, sheria, mipaka ya nchi zetu,mifumo ya siasa, demokrasia, dini zetu hasa ukristo,makomandoo wetu wanafundishwa mbinu za kivita na hawahawa mabeberu, sayansi na teknolojia n.k.
Pili wanaendelea kutoa misaada mbalimbali kwa nchi yetu kama vile vidonge vya kupunguza makali ya ukimwi, neti kwa ajili ya kupambana na malaria, chanjo mbalimbali n.k kama nilivyotangulia kusema hii ni mada ya kuwalaumu sana mabeberu kwamba RAISI wetu amekuwa mtu mwenye jeuri asiyependa kushauriwa amevuruga mahusiano yetu, anakanyaga katiba yetu anatupiga ,kutuua na kutupa vilema apendavyo juzi kaharibu chaguzi zetu na kujibakiza madarakani kwa nguvu, nyie mabeberu ni kweli hamna cha kumfanya huyu mtu au na nyie mpo upande wake?
Nchi zenu ,nyie mabeberu ni waathirika wakubwa wa hawa watu aina ya magufuli yaani kina Hitler, Mussolini na wengine kwamba madhara Huwa sio kwa nchi zao tu Bali dunia nzima huathirika pale matokeo ya udikteta yanapojitokeza, kiukweli kabisa simlaumu magufuli kwa haya anayoyafanya bali ninawalaumu nyie mabeberu kwa kuwa mfumo yetu inadharauliwa, inakanyangwa, na inaharibiwa, huku mnachekelea na kuendelea kumsapoti ili aendelee kutunyoosha.
MABEBERU MUNGU ANAWAONA haya yalikuwa mawazo ya kichaa mmoja hivi kutokea ikhanoda 😂😂😂😂😂😂 AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGU mi5tena
NB. Mabeberu msipoingilia kati tz kuhusu janga hili la korona basi tanzania itaangamia hivihivi mbele ya Macho yenu na dunia kwa ujumla
Kweli mabeberu kwisha kazi!Habari wana jf katika miaka yangu yote ya uhai hapa duniani na uzoefu nilio nao kuhusu awamu mbalimbali za serikali hapa tz yaani kuanzia awamu ya kwanza hadi hii awamu ya ajabu kabisa ya tano, awamu hii ndio imeongoza kwa kuwapuuza, kuwataja sana na hata kuwatukana sana mabeberu kuliko awamu nyingine zote zilizopita na pengine awamu zijazo.
Ni sawa na kusema mabeberu wamepata kiboko yako, sasa na mimi leo ninaomba kuwalaumu na kuwalaani sana hawa mabeberu, kwanza nijuacho mimi ni kwamba mifumo mbalimbali ya serikali za kiafrika hasa tanzania ni matokeo ya hawa mabeberu yaani mfumo wa elimu, sheria, mipaka ya nchi zetu,mifumo ya siasa, demokrasia, dini zetu hasa ukristo,makomandoo wetu wanafundishwa mbinu za kivita na hawahawa mabeberu, sayansi na teknolojia n.k.
Pili wanaendelea kutoa misaada mbalimbali kwa nchi yetu kama vile vidonge vya kupunguza makali ya ukimwi, neti kwa ajili ya kupambana na malaria, chanjo mbalimbali n.k kama nilivyotangulia kusema hii ni mada ya kuwalaumu sana mabeberu kwamba RAISI wetu amekuwa mtu mwenye jeuri asiyependa kushauriwa amevuruga mahusiano yetu, anakanyaga katiba yetu anatupiga ,kutuua na kutupa vilema apendavyo juzi kaharibu chaguzi zetu na kujibakiza madarakani kwa nguvu, nyie mabeberu ni kweli hamna cha kumfanya huyu mtu au na nyie mpo upande wake?
Nchi zenu ,nyie mabeberu ni waathirika wakubwa wa hawa watu aina ya magufuli yaani kina Hitler, Mussolini na wengine kwamba madhara Huwa sio kwa nchi zao tu Bali dunia nzima huathirika pale matokeo ya udikteta yanapojitokeza, kiukweli kabisa simlaumu magufuli kwa haya anayoyafanya bali ninawalaumu nyie mabeberu kwa kuwa mfumo yetu inadharauliwa, inakanyangwa, na inaharibiwa, huku mnachekelea na kuendelea kumsapoti ili aendelee kutunyoosha.
MABEBERU MUNGU ANAWAONA haya yalikuwa mawazo ya kichaa mmoja hivi kutokea ikhanoda 😂😂😂😂😂😂 AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGU mi5tena
NB. Mabeberu msipoingilia kati tz kuhusu janga hili la korona basi tanzania itaangamia hivihivi mbele ya Macho yenu na dunia kwa ujumla
Siamini Mabeberu kama kweli mmefunga ukurasa wa udikteta tz 😄😄😅😅😂😂😂😂Habari wana jf katika miaka yangu yote ya uhai hapa duniani na uzoefu nilio nao kuhusu awamu mbalimbali za serikali hapa tz yaani kuanzia awamu ya kwanza hadi hii awamu ya ajabu kabisa ya tano, awamu hii ndio imeongoza kwa kuwapuuza, kuwataja sana na hata kuwatukana sana mabeberu kuliko awamu nyingine zote zilizopita na pengine awamu zijazo.
Ni sawa na kusema mabeberu wamepata kiboko yako, sasa na mimi leo ninaomba kuwalaumu na kuwalaani sana hawa mabeberu, kwanza nijuacho mimi ni kwamba mifumo mbalimbali ya serikali za kiafrika hasa tanzania ni matokeo ya hawa mabeberu yaani mfumo wa elimu, sheria, mipaka ya nchi zetu,mifumo ya siasa, demokrasia, dini zetu hasa ukristo,makomandoo wetu wanafundishwa mbinu za kivita na hawahawa mabeberu, sayansi na teknolojia n.k.
Pili wanaendelea kutoa misaada mbalimbali kwa nchi yetu kama vile vidonge vya kupunguza makali ya ukimwi, neti kwa ajili ya kupambana na malaria, chanjo mbalimbali n.k kama nilivyotangulia kusema hii ni mada ya kuwalaumu sana mabeberu kwamba RAISI wetu amekuwa mtu mwenye jeuri asiyependa kushauriwa amevuruga mahusiano yetu anakanyaga katiba yetu anatupiga ,kutuua na kutupa vilema apendavyo juzi kaharibu chaguzi zetu na kujibakiza madarakani kwa nguvu, nyie mabeberu ni kweli hamna cha kumfanya huyu mtu au na nyie mpo upande wake?
Nchi zenu ,nyie mabeberu ni waathirika wakubwa wa hawa watu aina ya magufuli yaani kina Hitler, Mussolini na wengine kwamba madhara Huwa sio kwa nchi zao tu Bali dunia nzima huathirika pale matokeo ya udikteta yanapojitokeza, kiukweli kabisa simlaumu magufuli kwa haya anayoyafanya bali ninawalaumu nyie mabeberu kwa kuwa mifumo yenu hasa DEMOKRASIA inadharauliwa, inakanyangwa, na inaharibiwa, na Magufuli huku mnachekelea na kuendelea kumsapoti ili aendelee kutunyoosha. Ninaamini mkiamua kutusaidia watz kabla ya nchi yetu kuvurugwa zaidi mnaweza please hebu fanyeni kitu kwa huyu mwamba asiyejielewa!!
MABEBERU MUNGU ANAWAONA haya yalikuwa mawazo ya kichaa mmoja hivi kutokea ikhanoda 😂😂😂😂😂😂 AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGU mi5tena
NB. Mabeberu msipoingilia kati tz kuhusu janga hili la korona basi tanzania itaangamia hivihivi mbele ya Macho yenu na dunia kwa ujumla
MABEBERUHabari wana jf katika miaka yangu yote ya uhai hapa duniani na uzoefu nilio nao kuhusu awamu mbalimbali za serikali hapa tz yaani kuanzia awamu ya kwanza hadi hii awamu ya ajabu kabisa ya tano, awamu hii ndio imeongoza kwa kuwapuuza, kuwataja sana na hata kuwatukana sana mabeberu kuliko awamu nyingine zote zilizopita na pengine awamu zijazo.