"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.

Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini Tanzania toka Magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhili wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.

Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.

Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary

There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends. Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signaling U.S. concerns in selected instances, but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions. The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade

Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1
Great ...we have to work hard...
 
Mkuu Simba zee 33 , humu jukwaani tunawajibu wa kutumia lugha za staha dhidi ya imani za wengine ambao sio imani yako.

Sisi Wakristu tunaamini wote wasiomwamini Yesu huyo Mungu wanayemwamini ni shetani na mwisho wa siku wataishia motoni!. Kwa vile tunaishi na Waislamu, nikisema Allah na Mtume (SAW) ni .... according to imani yangu ya Ukristo, itakuwa ni machukizo kwa Waislamu na Uislamu!. Vivyo hivyo Muislamu kutuita makafiri na kiongozi wetu mkuu kumuita Kafiri, ni lugha ya machukizo!. Unaweza kuwasilisha hoja yako na ikaeleweka vizuri bila kututukana Makafiri!.
Heshima kitu cha bure!.
P
Mkuu naona kumbukumbu zako ni dhaifu sana
Mwembe Chai killings happened 1998 and you know who was president
Mzee Ruksa ilikua ni wakati mababda ya kiti moto yalivyo vunjwa Hakuna damu ya Binadamu iliyomwagika
Kuhusu masheikh wa uamsho walikamatwa na SMZ na wakapelekwa Tanganyika wakati wa Jakaya na kesi zao zilikua zinasikilizwa mahakamani
Ilikua imebakia hukumu akaingia madarakani huyu ######
Kuanzia aingie Hakuna kufikishwa mahakamani tena
Nasikitika sana muandishi muandamizi anasahanu Mambo ya juzi juzi.... Je unaweza kukumbuka Mambo yaliotokea stone ages uliofundishwa shuleni?
Ndio maana mzee Ruksa mpaka Leo anakaa kwenye vijiwe vya kahawa bila body guard
Na Jakaya anafanya jodging uwanjani peke yake
Kama sio chuki za kidini masheikh wa uamsho siku nyingi wangehukumiwa mahakamani lakini ### anatuchukia sana...

Baada ya mapinduzi kweli palitokea machafuko kama vile nchi zingine za kimapinduzi lakini tulikuwa hatunyanyasiki kama sasa
 
Wanaonewa wengi bila kujali dini yao, usijielekeze kwenye dini ambayo ni easier defence, tafuta angle nyingine uiegemee.
But as Zanzibarian I am trying to ask myself why Jakaya was a president for 10 years hatukuzika hata paka Mwinyi as well
Why mkapa and Magufuli?
Hizi pair mbili zinatofautiana nini?
Jibu unalo
 
Mku ww umeelewaje labda unieleweshe.
Kwani hata Prof Kabudi aliitolea kauli sijui ww unamaanisha nini.
Asante siku njema
Huyu Mzee Kabudi watamuua kwa stress watu wanatoa makauli ya ajabu yeye akasafishe mess zao yaani toka aingie madarakani hicho cheo cha uwaziri yeye kazi yake ni kujitetea kama ni mechi ya mpira kapaki basi, na hii miaka 5 inaponekana kazi itakuwa ni kujitetea maana ahata akiweka kitu sawa kesho analipuka mtu anaropoka huku karekodiwa, imagine kama ile kauli ya Kheri James kule Arusha kuhusu Lissy kuchomwa sidano kwamba safari hii hatutakosea, za mapolisi, kama OCD wa Hai... jamani nyieee dah
 
Mikwara ya mabeberu tu hiyo hakuna lolote Dr. Magufuli songa mbele baba hawa mbwa wanao bwaka bwaka hawawezi kutuzuia kwa lolote kama alivyosema gwajima hatuhitaji mapesa yao sisi bana labda wazuie hakuna kuuza nje au kununua kitu nje hapo nitaogopa sana.
Hahahhahaa. Hivi wewe unajuwa hata kinachoendelea ulimwenguni kweli zaidi ya kufahamu kuwa Magufuli Ni Rais😀😀😀😀😀
 
Mku mlinzi wa dunia afunge nini.
Kumbuka kauli aliyoitoa baada Malim Seif kukamatwa na Police nini kilitokea baada ya balozi kutoa Kauli.
Hata kwa akina Mbowe maana walishapewa tuhuma za ugaidi hadi TBC nilimuona mambosasa akisema walipanga kulipua petrol stations akiwa jamaa anasema ana ushahidi ghafla wakapewa dhamana halafu kimya, nilishangaa sana kesi ya ugaidi watu wanapewa dhamana kumbe mkwara wa beberu balozi alisema lazima waachiwe
 
hata kwa kna mbowe maana walishapewa tuhuma za ugaidi hadi tbc nilimuona mambosasa akisema walipanga kulipua petrol stations akiwa jamaa anasema ana ushahidi ghafla wakapewa dhamana halafu kimya,nilishangaa sana kesi ya ugaidi watu wanapewa dhamana kumbe mkwara wa beberu balozi alisema lazima waachiwe
Sisi raia tumwombe Mungu atunusuru lolote kutoka kwa wenye dunia yao.
 
Wazungu sio watu wazuri... usipoendana na tune yao... lazma wakubadilikie.... Kama ulimsikia gwajima Jana bungeni, utakuwa umenielewa.
 
Kwanini msimfukuze kabisa?
Mku siku zote mbabe huwa anafanya jambo kama hayuko siriazi nalo ili ujikwae kwake ili apate fimbo ya kukuchapia vizuri.
Zamani huku kitaa kuna wale watu walioshindikana kama akikutafuta kwa njia zozote kwa uchokozi mwisho anajikwa miguuni makusudi ili aonge apate njia ya kumwadhibu.
Kwa hiyo usitegemee mlinzi wa dunia afunge ubalozi.
Bezi ya jeshi la marekani kwa afrika unajua liliko Nyambizi zao zipo kila duniani kote hizo zote zinalinda dunia.
Kuna watu walikuwa wanateka meli unajua waliishia wapi
 
I think for the past five years this has been the talk. The worse is over. Investment will need the government to show and appreciate the contribution of the investors. Siasa hazina msaada kwenye hilo. China kusingekuwa na investment
Have you then questioned your brain why such investment directed and happened in China but not Cameron, Togo or Guatemala? Yes, all are equal but SOME are more equal.
 
Back
Top Bottom