Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

True...China ni wakaloni wapya..Kenya, Djbout, Sir Lanka, Zambia, Pakistani na kwingineko kote huko watu washaumizwa na China...sisi tuna u exception gani?
Yani ht km tuna upofu kweli ndo ht sauti ya kilio kutoka kwa majirani hatuiskii?

Anyway ngoja nitoe mfano rahisi kabisa wa wachina hapa Tanzania.

Hawa jamaa walioffer $7.6 billion kujenga kipande cha SGR kutoka Dar to Mwanza.
Link:

JPM akavunja mkataba akaugawa vipande vipande: Tazama video dk 0.56 kuona izo lot distances.

Lot 1: Dar to Moro mkataba ni $1.2b for 300km

Lot 2: Moro to Makutupora ni $1.46b for 422km

Lot 5: Mwanza to isaka ni 1.32b for 249km

Kipande kilichobakia ni Makutupora to Isaka ambacho ni Lot 3 & 4 ( Makutupora to Tabora 294km na Tabora to isaka 130km for a total of 424km ambacho ni km 2 zaidi ya Lot 2 ya Moro to Makutupora) so kwa hesabu ya haraka haraka hiki kipande kinawaweza kutu cost approx 1.5b

Now you do the math 1.2+1.46+1.32+1.5b=5.48b usd
So hadi tunamaliza SGR yetu tutakua tumetumia 5.48b usd..now let add projects overhead to 6usd.
Ukalinganisha na ule mkopo wa exim bank ya china utagundua wachina wangekua wametupiga 1.6b dollar sawa na zaidi ya Tirioni 3.7 za kitanzania kwa Exchage rate ya 2310.

Sasa huyu mchina alietaka kutupiga kwenye SGR tunamuamini vipi kwenye Bandari...nna mashaka hata thamani halisi ya bandari sio 10b usd...they have put a higher figures ili uwe ngumu kwetu kupata returns.
 
Kwa uandishi wako tu wa matusi na kashfa inaonekana hamna kitu kichwani.. huwezi jadili kitu kama hiki. This is too big for you
 
Nasisitiza tena huu mradi una elements zote za utapeli. Utapeli ndiyo unaendena na nguvu nyingi namna hii. Kiukweli ni hatari mno kuipa nchi nyingine bandari ya nchi yako.
 
Kwa uandishi wako tu wa matusi na kashfa inaonekana hamna kitu kichwani.. huwezi jadili kitu kama hiki. This is too big for you
Nothing is ''too big'' here. May be it is too big for your brain but not others. Huu mradi ukipita vizazi vijavyo vitakuja laumu sana sisi kuuza nchi.
 
Mkuu, hivi hiyo bei ya USD 16 kwa pipa umeitia wapi? Hata Waganda wenyewe wanweza wasisipate hizo kwa kila pipa! Kama bei ya pipa kwenye world maketi ni below $ 60 kwa sasa hivi keli sisi tukichukua hizo 16 Uganda watapata ngapi, Msafirishaji atapata ngapi na Mchimbaji atapata ngapi na bado gharama za uchimbaji? Acheni hizo propaganda!!
 
Hahahaa!! Kama unavyosubilia zamu yako ya (kufa) ya Mungu atakapokutwaa, ndivyo nasi tunasubiri vilevile,
Sasa nimekuelewa zaidi u nani wewe 😀 😀 "subilia... mnapata laa sana!!"
 
Sasa hizi hoja zenu kwamba huo mradi una faida kinyume na selikali inavyotwambia mnatoa wapi kama mkataba wenyewe hamna?
Nakueleweni sana sasa kina "selikali!!" 😀 😀 😀
Kwanini mnateseka hivi?
 
Swali kama hili wanalikwepa. Na kuna mengine tu hayajibiki.
 
Mkuu hawana muda wa kujihoji, kufikiri wala kuhoji... hii inaitwa mahaba ya "ulevi wa pombe!!"
 
Mkuu ni dola 12 sio 16 kwa pipa.
 
Mkopo wa China ulikuwa nafuu kuliko huo wa Waturuki ambao wamekopa China ili kutukopesha ujenzi wa SGR... Mnaweza kuingiza wengine chaka sio sisi.
Kina Zitto walipohoji hili ndilo lilipelekea wasirudishwe bungeni kwa hali zote...
 
Kwani mtu kujadili kwa uwazi kila mtu ajue ukweli ni amelipwa? Ulitaka afiche ili iweje? Au wewe ni wale"wazalendo" wa Jiwe ambao mradi wa Bagamoyo ni mbaya lakin Chato International Airport ni mzuri? Idiot!
Na malizia Mkuu... "na mkataba wake waliona na kuuhoji? kama wanavyohoji wa Bagamoyo!!!
 
Mkopo wa China ulikuwa nafuu kuliko huo wa Waturuki ambao wamekopa China ili kutukopesha ujenzi wa SGR... Mnaweza kuingiza wengine chaka sio sisi.
Kina Zitto walipohoji hili ndilo lilipelekea wasirudishwe bungeni kwa hali zote...
Kwaio kwako 6b ni kubwa kuliko 7.6b...
Ktk hili unahitaji Zitto akusemee na number unaziona mwenyewe?
JK alisema za kuambiwa changanya na zako.
 
Nothing is ''too big'' here. May be it is too big for your brain but not others. Huu mradi ukipita vizazi vijavyo vitakuja laumu sana sisi kuuza nchi.
Umemuuzia nani? Kama akili yako ni ndogo kiasi unamsikiliza jiwe, ambae ana ubongo kidogo wa kwenda kujenga kiwanja cha kimataifa kijijini kwao chatle, ambacho sasaiv watu wanakitumia kujifunzia baiskeli na Toyo..sina muda wa kupoteza kujadiliana na wewe
 
Mimi nafikir Ishu ya mkataba isitufunge kujadili hoja, ingawa mtoa mada amesema haukuwa mkataba kamili .Pia ametupa study case zingine za uwekezaji wa china tunaweza kuchukua reference, Tujadili kama viongozi kwamba ingetokea ndo uko na mchina mezani mnajadili huo mradi Nini msimamo wetu ,kwa mujibu wa sheria ,maono na uelekeo wa nchi yetu kiuchumi, Nini tunataka tufaidike na huo mradi, au pengine ungemshaurije waziri mwenye dhamana katika huo mradi. Kwa kawaida mkataba unajumuisha pande mbili, sio kwamba ni mawazo ya mchina pekee yataingia , hapo ndo inategemea uwezo wetu wa kufikiri maono yetu nk, so kama hutuna misimimo yetu yenye tija kulingana na maono ya uchumi wetu hata kabla ya huo mkataba ,tusitegemee tutajadili vitu maana hata kama tutapewa nafasi kukaa na mchina kutengengeneza huo mkataba.
 
Kwa Sasa dunia imebadilika sana Kila nchi inaangalia maslahi yake , usitegemmee china itakuja itawekeza kodi za wananchi wake Bila kuwa na maslahi yake, cha muhimu nini maslahi yetu kwenye huo mradi. Uchumi wa Sasa ni uwekezaji mkubwa duniani kote, Kila taifa linaangalia fursa iko wapi hata kama Ni miaka 20, Us anawekeza china , china anatafuta fursa anawekeza Us. So tusibaki na fikra za kudhani tutaendesha Kila kitu wenyewe tutachelewa sana. Kama mataifa ya first class yanatembea , tujiandae kukimbia sana.
 
Huu mradi mimi natumia facts na kunagalia mambo kwa mapana. Wala sijui Magufuli alisema nini kuhusu mradi kwani nilikuwa simwamini vitu vingi sana. Kama mtu una uwezo wa kusoma kiingereza ukifanya research kidogo tu utagundua huu mradi ni bomu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…