Gobole
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 1,806
- 4,670
True...China ni wakaloni wapya..Kenya, Djbout, Sir Lanka, Zambia, Pakistani na kwingineko kote huko watu washaumizwa na China...sisi tuna u exception gani?Ndio maana wakang'angania lease ya 99 years huku wakitaka usimamizi wa bandari kwa 40 years kwa maana kwamba in the course of running the port wataclaim for loss ili iwe ground ya extension utakuta usimamizi unakwenda for 99 years au wanaichukua kabisa.
Na kwakua itakua na facilities bora kuliko hizo nyingine (Tanga, Mtwara na Dar) hizo zitajifia automatically na kama nchi tutakua tumepoteza mapato moja kwa moja na kugeuka koloni lao.
Yani ht km tuna upofu kweli ndo ht sauti ya kilio kutoka kwa majirani hatuiskii?
Anyway ngoja nitoe mfano rahisi kabisa wa wachina hapa Tanzania.
Hawa jamaa walioffer $7.6 billion kujenga kipande cha SGR kutoka Dar to Mwanza.
Link:
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
Dar es Salaam is positioning itself as a regional hub, upgrading its port to attract more business from its neighbouring landlocked countries.
JPM akavunja mkataba akaugawa vipande vipande: Tazama video dk 0.56 kuona izo lot distances.
Lot 1: Dar to Moro mkataba ni $1.2b for 300km
Lot 2: Moro to Makutupora ni $1.46b for 422km
Lot 5: Mwanza to isaka ni 1.32b for 249km
Kipande kilichobakia ni Makutupora to Isaka ambacho ni Lot 3 & 4 ( Makutupora to Tabora 294km na Tabora to isaka 130km for a total of 424km ambacho ni km 2 zaidi ya Lot 2 ya Moro to Makutupora) so kwa hesabu ya haraka haraka hiki kipande kinawaweza kutu cost approx 1.5b
Now you do the math 1.2+1.46+1.32+1.5b=5.48b usd
So hadi tunamaliza SGR yetu tutakua tumetumia 5.48b usd..now let add projects overhead to 6usd.
Ukalinganisha na ule mkopo wa exim bank ya china utagundua wachina wangekua wametupiga 1.6b dollar sawa na zaidi ya Tirioni 3.7 za kitanzania kwa Exchage rate ya 2310.
Sasa huyu mchina alietaka kutupiga kwenye SGR tunamuamini vipi kwenye Bandari...nna mashaka hata thamani halisi ya bandari sio 10b usd...they have put a higher figures ili uwe ngumu kwetu kupata returns.