KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hatari umeiona hapo, ambayo pengine TPA inawatia kiwewe?Kwa kifupi, atapata kile kama ambacho TPA au TICTS anapata leo hii, lakini kwa kawaida Mchina huwa anaomba apate msamaha wa kodi ya mapato kwenye hizi pesa anazoingiza!
Bandari ya Dar haitapata kitu? Mapato inayopata sasa yote yatakwenda kwa mchina?
Unaweza ukasema ni ushindani wa kibiashara, lakini hapo ni wazi bandari ya Dar haitaambulia kitu!
Itabidi ife tu!