Uchaguzi 2020 Mabeberu wameitikisa nchi, ajenda yao kuu ni kumuweka Tundu Lissu madarakani

Musiba @work
 
7 Duh...
O
 
Mbona watz wengi tunawaunga mkono mabeberu, ndo wametukopesha hela ya kujengenga, sgr, stiglers na kununulia ndege,

Hata hizi barabara unazoona zinajegwa mitaani zinajengwa kwa chini ya DMDP Ni mkopo ya mabeberu tu.
Hakuna namna tutawakwepa mabeberu, tunawahitani zaidi kuliko wanavyotuhitaji
 
TL ndiye atangoka muda si mrefu mafail yatakapoanza kufunguliwa watu wote wajue agenda yake na handlers wake. Tanzania is not for sale.
 
Magufuli siyo mzalendo pekee nchi hii
Hata siye tupo.
Tanzania aliiikuta na ataiacha,amekufa Mkapa sembuse yeye!
The bottomline is mwacheni Lissu agombee,wananchi kama hawampendi vichinjio wanavyo watamkata
Wameondoka kambarage na mwanae mpendwa mkapa na bado tupo tunajenga nchi sembuse huyu kilaza mwenye PhD feki
 

Umeandika vizuri lakini hoja zako zinamrengo fulani. Pia mnakiwewe cha cha kushindwa kwa mbinu zinazotumika kuwapa ushindi katika chaguzi mbalimbali.
Mkibanwa na kuambiwa acheni uchaguzi uwe huru na wa haki, basi jina la ubeberu linaingia. Mkiiba kura na kunyayasa watu mnasema ni uzalendo.
 
Ndugu mlisema 2020 chadema itakuwa imekufa sasa povu la nn??

Mnadai jiwe kafanya makubwa sasa uoga wa nn??

Ccm umefanya siasa mda wote for 5yrs sasa waogopa nn??
Kifupi na kiukweli ccm haikubalikiiiii
Ninapata shida kuona uelewa wa vijana wa bavicha kuhusu barua za propaganda zilizoletwa na kigogo
 
Hawato weza

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli anachukiwa na mabeberu. Lissu anapendwa sana na mabeberu. TAFAKARI
Mmoja anachukiwa kwa sababu ya ujinga ,roho mbaya yake,ulayman wake na upuuzi wake wa kutoheshimu mtu na utu wa mtu mwingine na mwingine anapendwa kwa sababu ya uwezo wake na huduma yake kwa umma
 
Ndugu mlisema 2020 chadema itakuwa imekufa sasa povu la nn??

Mnadai jiwe kafanya makubwa sasa uoga wa nn??

Ccm umefanya siasa mda wote for 5yrs sasa waogopa nn??
Kifupi na kiukweli ccm haikubalikiiiii
Kuna mwana CCM anaogopa??
 
Jiwe hakubaliki kabisa... Fanya opinion poll popote Iwe mtandaoni Au mitaani. Watanzania wengi waoga kuongelea ubaya wake hadharani coz wametishwa Sana. Wanaopiga Kelele kumsifia kuna wanafiki na wenye Maslai. Niwakumbushe tena kura ni Siri... Watu watapiga kura watashangaza wengi ...game ikiwa fair nafasi yake Kushinda ni ndogo Sana.
 
Politics of stupid, lies and deceit can not be a sustainable strategy. It may have worked in the past,it may still work today, but it surely won't work forever. History will be the judge.
 
Huo ni uongo kabisa, kufichua uovu lazima
 
Mpango wa Mungu ndio utakaotimia,zingine zote ni mbwembwe tu.kama ni Magufuli au lisu.
 
Wapiga kura ni mabeberu au wananchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…