Mabegi ya 'shangazi kaja' marufuku kwenye kwenye treni ya SGR

nazani wangeweka saizi ya shangazi kaja lisiwe kubwa kama lobota la nguo viwe vidogo vidogo sio kukataza kabisa
 
Oi! Kama watu hawataki kuacha Uswahili willingly basi itabidi iwe mandatory ili kuelekea kuwa moja ya nchi zilizostaharabika. Gradually mpaka tufikie viwango vya first world country. Hahahah!

But seriously ni amani sana ukienda nchi kama Japan na kukuta kila mtu ni mstaarabu ukipanda zile bullet train. We have to get there!
 
Wacha weeee
 
Tumeanza unyanyapaa mapema mno.

Imagine hata mihogo,mahindi ya kuchemsha na viazi mmekataa tusipande navyo???mnataka tufe njaa jamani,mtu bila kula anaishije???
View attachment 3038625
Mtu utapokelewa nini na wenyeji wako hapo DSM, tulishazoea kubeba kuku, bata, mahindi mabichi, mchele, maharage, maboga, kisamvu, samaki wakavu n.k. Hii sasa imeshakuwa ngumu kwa kweli.
 
Huko ni mwendo wa holdall bag,duffel bag,rucksack etc. Hayo mashangazi kaja pelekeni Kimbinyiko 🤣🤣
Bahati yao; tungejaza magimbi na ndizi huko hadi watukome. Afu wengine hatuna hela za bags; tunatia nguo kwa aunt come: tunasepa zetu. Not fair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…