Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
-
- #61
Uhuru gani mkuu unasemea?nao ni binadamu,, huwa tunawapa uhuru??....hivi wenzetu wa nchi za huko mbele, wamewezaje ktk hili?? haya ndo ya kujifunza sio kuigiza kukazana na mavazi.....
Tv tunawekea passwords channels za kiswahili tunaacha bbc na aljazeeraKwa hiyo wamehamia kwenye simu kutoka kwenye TV.
Umenielewa vizuri mkuu
Asante
Wengine wanawatuma mpaka taulo ya mzee wakati wao wameshika remote
Wanataka kila kitu mtoto wa kazi afanye kutwa kuitwa tu ni kama watumwa na vijakazi tu
Mshahara wenyewe kiduchu kisa eti anakula na kulala kwake
weekend waachwe kabisa wawe free,,,kama ni church muende nao pamoja......mruhusu akatembee bila bughudha na kumwambia arudi mapema....sio kila siku kelele tuuuu......wao ni binadamu jamani......wanahitaji kuyafurahia maisha kwa nafasi yao.....Uhuru gani mkuu unasemea?
nao ni binadamu,, huwa tunawapa uhuru??....hivi wenzetu wa nchi za huko mbele, wamewezaje ktk hili?? haya ndo ya kujifunza sio kuigiza kukazana na mavazi.....
yees, ambaye ni mtu mzima anaejielewa...so tusilalamike sbb tunaajiri vitoto visivyoweza kujitambua na kuvijazia kazi kibao....kama kweli unahitaji msaidizi ambae hutokuwa na hofu ukiwa kazini....hakikisha na stahiki zake anazipata kwa wakati...tena bila kelele....ila wake zetu wenyewe ni visirani balaaa.....Hapo uwe tayari kuajiri aliye na mika 18 au zaidi umlipe mshahara uliopangwa na serikali na stahiki zote muhimu na sio posho na chakula...ndo maana wenzetu wana daycare anamwacha mtoto na kumpitia jioni watanzania hatutaweza
Mbona tunawaruhusu mkuu hata out tunatoka nao fresh tuweekend waachwe kabisa wawe free,,,kama ni church muende nao pamoja......mruhusu akatembee bila bughudha na kumwambia arudi mapema....sio kila siku kelele tuuuu......wao ni binadamu jamani......wanahitaji kuyafurahia maisha kwa nafasi yao.....
Kweli kabisa na tatizo linakuja kama humsaidii bali kumnyanyasa matokeo yake na anaowafanyia kazi atawadhuru au kuwapa maradhi ya ajabuNa mbaya zaidi majority ni kati ya miaka10-17 lakin anafanyishwa kazi za kiutu uzima..hawaendelezwi wala hamna taasisi ya kuwatetea..akikosea kidogo unawaza kumrukuza badala ya kumwelewesha..all in all kila mtu ataongea lake ila bila kua makini kweli mara nyingi wataishia kushusha manyanyaso kwa watoto wasio na hatia....hv tuwe wawazi angekua mwane anarudi amelewa angemfukuza au amwonye madhara ya anachofanya
Stahiki zao mnawapa kwa wakati......wana mda wa kupumzika.... umeshawahi kumletea hata kazawadi siku moja,,,kma unavyoletea wanao??? umri wake jee....anaweza kuhimili majukumu......uko nae kama mfanyakazi au mmoja wa wanafamilia......Mbona tunawaruhusu mkuu hata out tunatoka nao fresh tu
Hehe ulimfanyaje dogo wa watuMmoja nilimfuatilia mawasiliano yake baada ya kugundua kuna kijana anakujaga nyumbani mida watoto wameenda shule, huyo Dogo alikuwa anasoma Chuo flani hapa Dar tukitoka nae anakuja kupiga msosi, nikaamua kumtegea mtego dogo siku amekuja nikamkamata, kilichomtokea anakijua mwenyewe maana alishahama mji alirudi kwao morogoro.
Mkuu hawa viumbe hata uwape uhuru wanamambo yao haki yanauzi mno omba yasikukute.nao ni binadamu,, huwa tunawapa uhuru??....hivi wenzetu wa nchi za huko mbele, wamewezaje ktk hili?? haya ndo ya kujifunza sio kuigiza kukazana na mavazi.....
Dah mkuu hilo tatizo ni janga la kitaifa juzi nimemtimua mfanyakazi wangu sikukuu ya pasaka tulimwambia twende tukale sikukuu kwa wazaz wangu kagoma sasa mida ya sa nne usiku narudi home nakuta hayupo karudi za tano usiku kalewa chakali kilichofata nikamtimua,, hapo kwenye simu ndo usiseme yani kila mda yupo bize ukiangalia simu yake imejaa no za wanaume
Mimi wangu ananiblock. Kuna kipindi kama 3 days nikimpigia yuko busy. Nikajua atakua busy kwenye kuongea kama kawaida yake. Kushika simu yake nitafute tatizo si ndo nikajua kaniblock. Nikatoa block Jana nampigia tena yuko busy. Nilikasirika ila sikua na namna maana haiwezekani aniblock bahati mbaya ni kwamba hataki simu zangu
hapo anakuwa anawalezea wanakijiji wenzake kuhusu tabia zako.Yaani hawa wadada wakishapata simu ni shida tupu .wanaongea kuliko customer care wa tigo.
Kuwapa simu inakuwa shida.
Tutawaachaje nyumbani na watoto bila simu Sasa?
Yaani hata ukimtafuta simu iko busy hapatikani.wanaongeaga na Nani jamani?