mbaritsamenya
JF-Expert Member
- Apr 28, 2019
- 432
- 504
Yaani hawa wadada wakishapata simu ni shida tupu .wanaongea kuliko customer care wa tigo.
Kuwapa simu inakuwa shida.
Tutawaachaje nyumbani na watoto bila simu Sasa?
Yaani hata ukimtafuta simu iko busy hapatikani.wanaongeaga na Nani jamani?
Uchumi mkuu .ila itabidi tuhamie hukoMnunulie simu ya mezani alafu unai funga hakuna kupiga sim atakuwa ana pokea tuu
Huyu wa kwangu anachizika na muuza butcher c mchezoMostly wanaongea na bodaboda wanaotuletea vitu majumbani,lakini pia hiyo simu ndio mara nyingi inakuwa ticket ya kutodumu kwenye kazi...
Pole mkuu.kuna watu humu wanapinga kila kitu eti ooh tunawatesa.kuna mtu anamtesa mtu miaka hii?Katika mada ambayo imenigusa mwaka huu ni hii.....
Aisee hilo tatizo la simu kwa wadada wa kazi shida,kama huyu wa kwangu anakuwa busy na simu hadi saa 7 za usiku yaani muda wote ni simu tu hamna kingine anachojua alafu anapata uhuru kwasabb watoto wangu wote wanakuwa shule mpaka jioni saa10 nahisi uhuru huu unamfanya awe chizi kabisa
Kweli atakuwa analonga na Kijiji kizima maana sio kwa kuongea hukohapo anakuwa anawalezea wanakijiji wenzake kuhusu tabia zako.
Nunua ttcl ya mezani mkuuYaani hawa wadada wakishapata simu ni shida tupu .wanaongea kuliko customer care wa tigo.
Kuwapa simu inakuwa shida.
Tutawaachaje nyumbani na watoto bila simu Sasa?
Yaani hata ukimtafuta simu iko busy hapatikani.wanaongeaga na Nani jamani?
PoleniMkuu mnaongea tu kwa vile nyie wanaume mnakuta kila kitu kipo poa
Wa majuu huwezi kumudu full time yaani mshahara wake ukimlipa na wako unaisha kabisa hakibaki kitunao ni binadamu,, huwa tunawapa uhuru??....hivi wenzetu wa nchi za huko mbele, wamewezaje ktk hili?? haya ndo ya kujifunza sio kuigiza kukazana na mavazi.....
Wa kwangu hujui kama msichana kwanza ni kazuriii mpk mfanyaka kazi mwenzangu alitaka kumuoa nikachomoa maana alitaka awe mke wa piliKama mtaishi nao kama watoto wenu ingekuwa vizuri na heshima ingekuwepo
Mimi wangu ananiblock. Kuna kipindi kama 3 days nikimpigia yuko busy. Nikajua atakua busy kwenye kuongea kama kawaida yake. Kushika simu yake nitafute tatizo si ndo nikajua kaniblock. Nikatoa block Jana nampigia tena yuko busy. Nilikasirika ila sikua na namna maana haiwezekani aniblock bahati mbaya ni kwamba hataki simu zangu
[emoji7] Watakaiba tu maana watu sio wema kwa kweliWa kwangu hujui kama msichana kwanza ni kazuriii mpk mfanyaka kazi mwenzangu alitaka kumuoa nikachomoa maana alitaka awe mke wa pili
[emoji16]Mimi wangu ananiblock. Kuna kipindi kama 3 days nikimpigia yuko busy. Nikajua atakua busy kwenye kuongea kama kawaida yake. Kushika simu yake nitafute tatizo si ndo nikajua kaniblock. Nikatoa block Jana nampigia tena yuko busy. Nilikasirika ila sikua na namna maana haiwezekani aniblock bahati mbaya ni kwamba hataki simu zangu
Mimi mdada ni kero kwenye Simu na TV yaani muda mwingi anachat na kuongea kama jana usiku nilirudi nyumbani saa mbili usiku nikaambiw Dada ameend kulala ajisikii vizuri, nikaangalia mpira hadi saa Sita usiku Lakin nikawa nasikia sauti yake anaongea na Simu chumba kwake. TV ndio akiiwasha hata kula anasahau alafu uwa anatazana hadi marudio ya bongo movie. Ila nimemkanya as iweke Chanel zitakazoharibu watoto akili.alafu uwa awafundishwi kibadilisha ChanelKatika mada ambayo imenigusa mwaka huu ni hii.....
Aisee hilo tatizo la simu kwa wadada wa kazi shida,kama huyu wa kwangu anakuwa busy na simu hadi saa 7 za usiku yaani muda wote ni simu tu hamna kingine anachojua alafu anapata uhuru kwasabb watoto wangu wote wanakuwa shule mpaka jioni saa10 nahisi uhuru huu unamfanya awe chizi kabisa
Kuna mmoja nilikuwa naye hata ukiwa na wageni sitting room,anakuja kukaa,remote anashika yeye na kuanza kubadili chanel ovyo ovyo..Mimi mdada ni kero kwenye Simu na TV yaani muda mwingi anachat na kuongea kama jana usiku nilirudi nyumbani saa mbili usiku nikaambiw Dada ameend kulala ajisikii vizuri, nikaangalia mpira hadi saa Sita usiku Lakin nikawa nasikia sauti yake anaongea na Simu chumba kwake. TV ndio akiiwasha hata kula anasahau alafu uwa anatazana hadi marudio ya bongo movie. Ila nimemkanya as iweke Chanel zitakazoharibu watoto akili.alafu uwa awafundishwi kibadilisha Chanel