Mabenki ya kitanzania, madirisha 5 ya kutoa huduma, Wahudumu Wawili tu, mmoja yupo muda wote mwengine anaingia na kutoka muda wote

Umeandika ukweli mtupu.
 
Hayo matatu moja ni kwa ajili ya cheque tu labda muwe mnafahamiana.
Yaani kwenda bank ni hadi uage kwani unaweza kuishia kutumia karibia nusu siku
Nahisi kuna viongozi kule Bank wana vyeo ila hawajui maana yake; kwa nini wasiwe wanaongeze Cashier madirishaji watu wakiongezeka na kupunguza watu wakipungua?
Ushauri: Badala ya kulipa overtime inayosababishwa na kucheleweshwa kwa huduma, wangetumia hiyo overtime allowance kuajiri wafanyakazi wengine hasa cashiers
 
Reactions: EEX
Peleka malalamiko haya vilevile kwa meneja husika wa branch. Hii ingesaidia kushughulikia malalamiko yako kwa haraka zaidi
 
Akili za kipumbavu, unawaza mameneja wote wanaume Malaya na tellers wote ni wanawake Malaya.
Yaani hakuna meneja mwanamke wala teller mwanaume.
Wewe ndio utakua mpumbavu kama ni mwanaume wew shoga kama mwanamke basi wew malaya... Huna exposure unajitia ujuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…