Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika ukweli mtupu.kuna benki zina madirisha hadi 8 ila hali ipo hivi hivi
Yaani kwenye mabenki yetu haya uje kukuta madirisha yote yana tellers ni kama muujiza hivi, Nakumbuka zamani nikiwa chuoni nimetumiwa ada usiku niende kulipia asubuhi niliponea chupu chupu nisifanye mtihani isingekuwa huruma ya waliopanga foleni kuniruhusu nilipie ada niende kufanya pepa.
Hapa bongo watu wanakwepa sana uwajibikaji wa kukamilisha majukumu yao ya kwenye mikataba ya ajira, wengi wapo kusubiria mishahara tu na kuzuga zuga ofisini waonekane wapo, ukiwakuta wanawajibika basi kuna chances kubwa kwamba kuna mwanya wa upigaji hususani rushwa ama kuibia wateja pesa.
Ni bure kabisa hata elimu wanayosomea vyuoni haina msaada, Kwenye masomo kama operations research / Quantitative methods kuna somo la queuing linahusu haya mambo lakini unabaki kushangaa tu kanakwamba somo hilo ni kama pambo kwenye vyeti.
Yaani kwenda bank ni hadi uage kwani unaweza kuishia kutumia karibia nusu sikuHayo matatu moja ni kwa ajili ya cheque tu labda muwe mnafahamiana.
Peleka malalamiko haya vilevile kwa meneja husika wa branch. Hii ingesaidia kushughulikia malalamiko yako kwa haraka zaidikuna benki zina madirisha hadi 8 ila hali ipo hivi hivi
Yaani kwenye mabenki yetu haya uje kukuta madirisha yote yana tellers ni kama muujiza hivi, Nakumbuka zamani nikiwa chuoni nimetumiwa ada usiku niende kulipia asubuhi niliponea chupu chupu nisifanye mtihani isingekuwa huruma ya waliopanga foleni kuniruhusu nilipie ada niende kufanya pepa.
Hapa bongo watu wanakwepa sana uwajibikaji wa kukamilisha majukumu yao ya kwenye mikataba ya ajira, wengi wapo kusubiria mishahara tu na kuzuga zuga ofisini waonekane wapo, ukiwakuta wanawajibika basi kuna chances kubwa kwamba kuna mwanya wa upigaji hususani rushwa ama kuibia wateja pesa.
Ni bure kabisa hata elimu wanayosomea vyuoni haina msaada, Kwenye masomo kama operations research / Quantitative methods kuna somo la queuing linahusu haya mambo lakini unabaki kushangaa tu kanakwamba somo hilo ni kama pambo kwenye vyeti.
Wewe ndio utakua mpumbavu kama ni mwanaume wew shoga kama mwanamke basi wew malaya... Huna exposure unajitia ujuajiAkili za kipumbavu, unawaza mameneja wote wanaume Malaya na tellers wote ni wanawake Malaya.
Yaani hakuna meneja mwanamke wala teller mwanaume.