Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kweli asee! Hivi alishatangulia mbele za haki au alirudi kwenye uTISS?Huyu ni mmoja ya Miamba ya siasa kakamavu. Ni jasusi , ni msomi, ni mtu karba ya Tundu Lissu.
Inasikitisha hatupo naye tena kwenye Siasa. Najiuliza alipatwa na nini? Amechoka? Yu mgonjwa? Ni hasara sana kwa Taifa kupoteza watu kama hawa halafu kuwa na akina Nape, Januari na .... .
Nyie hamna uwezo wa kuelewa hii inataka angalau C tatu. Kwa D zenu bado hamuelewi.Sisi wa 90s kuelewa hii inabidi zile D ziwe walau 3 nakukendelea
Apson ni mtu kyela mnyakyusa huyo, Hata hivyo Mabere ndio alipiga hio shoo ya TamimuMabere marando ni over rated hata lile tukio la tamimu hakulicheza yeye ulizieni mtabe mnyama mwitu aliyekuwa anaitwa Cornel Apson Mwangonda mtu wa mbozi mbeya ndio alikuwa mkuu wa operation hatari za teeth including hiyo ya tamimu.
Ndio nani huyo huko Dalesalama?Huyu ni mmoja ya Miamba ya siasa kakamavu. Ni jasusi , ni msomi, ni mtu karba ya Tundu Lissu.
Inasikitisha hatupo naye tena kwenye Siasa. Najiuliza alipatwa na nini? Amechoka? Yu mgonjwa? Ni hasara sana kwa Taifa kupoteza watu kama hawa halafu kuwa na akina Nape, Januari na .... .
Nyie division 5,wa vijijini na watoto wa miaka ya 2000s hamwezi mfahamu.
Inaeleweka lkn tena ipo open kabisa tu mbonaNyie hamna uwezo wa kuelewa hii inataka angalau C tatu. Kwa D zenu bado hamuelewi.
Kasome alichouliza yule dogoInaeleweka lkn tena ipo open kabisa tu mbona
Mtu yeyote anayelielewa hawezi kufanya siasa na kina mdude na mwambukusi,tangu lowassa alivyoitwa chadema wenye akili waliondokaHuyu ni mmoja ya Miamba ya siasa kakamavu. Ni jasusi , ni msomi, ni mtu karba ya Tundu Lissu.
Inasikitisha hatupo naye tena kwenye Siasa. Najiuliza alipatwa na nini? Amechoka? Yu mgonjwa? Ni hasara sana kwa Taifa kupoteza watu kama hawa halafu kuwa na akina Nape, Januari na .... .
Adui wa ccm Anatoka ccm,it was well calculated.swma watanzania vichwani ni zero.lowasa alileta wabunge roughly 70-80 CDMMtu yeyote anayelielewa hawezi kufanya siasa na kina mdude na mwambukusi,tangu lowassa alivyoitwa chadema wenye akili waliondoka
USSR
Nitumie namba yake nioe mke mdogoNamkumbuka sana huyo mwamba, ana mtoto wake anaitwa Herieth, ni hakimu wa mahakama ya wilaya arusha mjini, huyo dada namheshimu sana, kuna mahali aliniokoa, nilikuwa nipigwe mpunga mrefu na wahuni wa mjini.
Baada ya wazungu kukomalia vyama vingi, na CCM ikawa inagoma, Nyerere aliwaambia wakubali vyama vingi vije, ila wavi-contain, yaani viwe nyumba ndogo ya CCM. Hata Mzee wa Kiraracha alikuwa Afisa Usalama wa Taifa Wilaya ya Kahama.NCCR kilianzishzwa na Marandu mwenyewe. Atakuwaje pandikizi kwenye chama alichoanzisha yeye mwenyewe? Nina bahati ya kuwa mmoja wa waliohudhuria mkutano wa NCCR wa kwanza kabla hakijawa chama cha NCCR-Mageuzi
Mkuu nakumbuka mkutano wa kwanza wa mageuzi ulifanyika pale IFM ,nami nilikuwa na kiu ya kuona miamba ya siasa za upinzani.Nakumbuka alikuwepo Profesa Baregu,Kasanga Tumbo,James Maparara,Chief Fundikira,Mabele Marando wakiwa principle speakers.NCCR kilianzishzwa na Marandu mwenyewe. Atakuwaje pandikizi kwenye chama alichoanzisha yeye mwenyewe? Nina bahati ya kuwa mmoja wa waliohudhuria mkutano wa NCCR wa kwanza kabla hakijawa chama cha NCCR-Mageuzi
Alifanya makosa sana kujiunga Chadema. Hata Prof. Abdallah Safari naye baada ya kwenda Chadema alitamka kwamba hataki siasa tena!!!Huyu ni mmoja ya Miamba ya siasa kakamavu. Ni jasusi , ni msomi, ni mtu karba ya Tundu Lissu.
Inasikitisha hatupo naye tena kwenye Siasa. Najiuliza alipatwa na nini? Amechoka? Yu mgonjwa? Ni hasara sana kwa Taifa kupoteza watu kama hawa halafu kuwa na akina Nape, Januari na .... .