Mabere Nyaucho Marando yupo wapi?

Mabere Nyaucho Marando yupo wapi?

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Huyu ni mmoja ya Miamba ya siasa kakamavu. Ni jasusi , ni msomi, ni mtu karba ya Tundu Lissu.

Inasikitisha hatupo naye tena kwenye Siasa. Najiuliza alipatwa na nini? Amechoka? Yu mgonjwa? Ni hasara sana kwa Taifa kupoteza watu kama hawa halafu kuwa na akina Nape, Januari na .... .
 
Kweli asee! Hivi alishatangulia mbele za haki au alirudi kwenye uTISS?
 
Mabere marando ni over rated hata lile tukio la tamimu hakulicheza yeye ulizieni mtabe mnyama mwitu aliyekuwa anaitwa Cornel Apson Mwangonda mtu wa mbozi mbeya ndio alikuwa mkuu wa operation hatari za teeth including hiyo ya tamimu.
Apson ni mtu kyela mnyakyusa huyo, Hata hivyo Mabere ndio alipiga hio shoo ya Tamimu
 
Huyu ni mmoja ya Miamba ya siasa kakamavu. Ni jasusi , ni msomi, ni mtu karba ya Tundu Lissu.

Inasikitisha hatupo naye tena kwenye Siasa. Najiuliza alipatwa na nini? Amechoka? Yu mgonjwa? Ni hasara sana kwa Taifa kupoteza watu kama hawa halafu kuwa na akina Nape, Januari na .... .
Ndio nani huyo huko Dalesalama?

The Icebreaker
 
Kisukari kilimpiga sana
Nakumbuka kuna wakati
Nlikuwa nakutana naye sana
Kwenye garage fulani,tukiwa tunafanya service Nissan patrol
Zetu..yeye alikuwa na Nissan patrol short chasses kama mimi na wote tulikuwa wapenzi wa magari hayo,basi hapo ndipo tukawa washkaji

Ova
 
Huyu ni mmoja ya Miamba ya siasa kakamavu. Ni jasusi , ni msomi, ni mtu karba ya Tundu Lissu.

Inasikitisha hatupo naye tena kwenye Siasa. Najiuliza alipatwa na nini? Amechoka? Yu mgonjwa? Ni hasara sana kwa Taifa kupoteza watu kama hawa halafu kuwa na akina Nape, Januari na .... .
Mtu yeyote anayelielewa hawezi kufanya siasa na kina mdude na mwambukusi,tangu lowassa alivyoitwa chadema wenye akili waliondoka

USSR
 
NCCR kilianzishzwa na Marandu mwenyewe. Atakuwaje pandikizi kwenye chama alichoanzisha yeye mwenyewe? Nina bahati ya kuwa mmoja wa waliohudhuria mkutano wa NCCR wa kwanza kabla hakijawa chama cha NCCR-Mageuzi
Baada ya wazungu kukomalia vyama vingi, na CCM ikawa inagoma, Nyerere aliwaambia wakubali vyama vingi vije, ila wavi-contain, yaani viwe nyumba ndogo ya CCM. Hata Mzee wa Kiraracha alikuwa Afisa Usalama wa Taifa Wilaya ya Kahama.

Pia hata CDM, ni yaleyale.

Mobutu Sesse Sekko Kuku Ngbendu wa Zabanga alikuwa na vyama zaidi ya kumi vya upinzani, vyote mali yake, ukijua kupiga mdomo tu, unapewa mabilioni, unaanzisha chama, ila usizidi, ukizidi wanakuzingua wenye mali. Hata Mrema alipotaka kuzidi, wakamzingua, Dk Slaa na Lipumba wao walipoona muajiri wao kaelemewa na UKAWA, wakajivunja/wakajipiga shoti
 
Huku Mabere Nyaucho Marando, huku Moses Maira, Israel Magesa na kesi zake za pangu pakavu, Kashumbugu mzee wa siku, miksa Masumbuko Lamwai, Ringo Tenga, Twaha Taslima, Prof. Safari, Mukono, El-Maamry, kiungo Issa Ghulamhussein Shivji, Mvungi, Mwakyembe, Rweyongeza......

Kizazi cha dhahabu cha tasnia ya sheria
 
NCCR kilianzishzwa na Marandu mwenyewe. Atakuwaje pandikizi kwenye chama alichoanzisha yeye mwenyewe? Nina bahati ya kuwa mmoja wa waliohudhuria mkutano wa NCCR wa kwanza kabla hakijawa chama cha NCCR-Mageuzi
Mkuu nakumbuka mkutano wa kwanza wa mageuzi ulifanyika pale IFM ,nami nilikuwa na kiu ya kuona miamba ya siasa za upinzani.Nakumbuka alikuwepo Profesa Baregu,Kasanga Tumbo,James Maparara,Chief Fundikira,Mabele Marando wakiwa principle speakers.
 
Huyu ni mmoja ya Miamba ya siasa kakamavu. Ni jasusi , ni msomi, ni mtu karba ya Tundu Lissu.

Inasikitisha hatupo naye tena kwenye Siasa. Najiuliza alipatwa na nini? Amechoka? Yu mgonjwa? Ni hasara sana kwa Taifa kupoteza watu kama hawa halafu kuwa na akina Nape, Januari na .... .
Alifanya makosa sana kujiunga Chadema. Hata Prof. Abdallah Safari naye baada ya kwenda Chadema alitamka kwamba hataki siasa tena!!!
 
Back
Top Bottom