Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Mf . Nikakutukana vibaya mno hunijui wala sikujui ila ni hapa utakaa kimya tu hunijibu . Nipe ruhusa yako hapa sema yes tolea mf. Halafu tuone kama ugonjwa wa akili upo au haupo. Please say yes nikuonyeshe good example . Ndio utawalewa wanaorukiana humu. Kwa wema tuKuwa na bifu na mtu usiyemjua mtandaoni ni ugonjwa wa akili, huo muda sijui watu wanaupata wapi jamani!
Kutwa kuanzisha thread za ugomvi, eh!
Ni maoni tu jamani msinivae, mi sitaki ugomvi na mtu ✌🏽