Mabifu ya Jamii Forums yananichekeshaga sana

Mabifu ya Jamii Forums yananichekeshaga sana

Uje asubuhi hii? Kwani we uko wapi?

Maana hapa nilipo imekaribia saa tatu za usiku.

Unanipotezea muda tu.

Fcuk you [emoji867].
Nimetulia hapa nakuskilizia useme su nisogee. Kwanini unaogopa? Si nakupiga tu au unanipiga yanaisha heshima inakuwepo?

Nakupotezea muda kivipi? Muda hupotea kwa wajinga. Braves wanajua namna ya kutumia muda vizuri. Sasa kama wewe muda wa kuosha vibabu vya kizungu mattaercore unautumia kuja mitandaoni sisi hatuwezi kusaidia.

Hiyo fuuuuuck you kwa kiswahili embu iseme nione kama naweza kukutekelezea hitaji lako
 
Binafsi nilihitaji kama mazoezi tu sparring tu kawaida ,jamaa kaja inbox anatishia atanipiga bastola eti yeye jambazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli nimejiridhisha na kuamini wewe ni Punga!,Kumbe muda wote napoteza muda kwa Punga!

Masikini mie!
 
Makuzi nayo yanachangia, wengine wameathiriwa na magenge ya mtaani walipokulia.

Kwao matusi, kejeli, dharau, visasi vya kijinga na kupigana ovyo ni sehemu muhimu ya maisha yao.

Mungu akunyime vyote kasoro Akhlaq na adab.
Haswa matusi....
Kuna watu wanatukana....yaani unaona kabisa kuishi nae huyu ni tabu
 
Mimi kwetu si Musoma ni Tarime!
Wakuria na violence👇
images - 2023-12-29T221809.523.jpeg
 
Kuna sehemu nlisoma kama sijakose majaamaa walipanga wakutane tabata shule uwanjani wazichape sasa ilipofika siku yule mwenye maneno mengi akafika, bwana bwana yule mkimya alivyofika jamaa kidali mwenye kelele walienda kumkamatia kule chini chura dume alitoka nduki kiroho mbaya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom