Mabifu ya Jamii Forums yananichekeshaga sana

Mabifu ya Jamii Forums yananichekeshaga sana

That’s why I don’t beef online, anymore.

Most JF folks are pussies. And I’m old school.

Ukinizingua tukikutana, it’s on-site.

Disrespect has no expiry date.

I’d rather people say it to my face halafu tuone kama mtu atarudi na meno yake nyumbani….
Imagne mtu anarudi Kwa mke wake bila meno
 
Imagne mtu anarudi Kwa mke wake bila meno
Well, hizo ndo consequences za real world.

Huku JF kuna false sense of security.

Mtaani hakuna hiyo security maana consequences zake ni real.

Kwa mfano, umeona huyo anayejiita ‘Mwamaleki’ anavyonishambulia?

Unadhani uraiani tukikutana atakuwa na huo ujasiri?

Akisema hayo maneno yake mbele yangu hatorudi mzima nyumbani kwake kama alivyotoka.

Akisema hivyo mbele yangu anaweza kabisa kurudi kwa wanae akiwa kibogoyo.

I’m just sayin’.
 
Habari zenu 🖐

Naomba niwasimulie story fupi iliyotokea kipindi flani cha nyuma.

Kuna siku flani tulikuwa tumekaa na washkaji na baadhi ya mademu bac tunapiga story, jamaa mmoja baada ya kuona mademu akaanza sifa za kuji-mwambafy, bac yule jamaa nikamtuliza vizur tuu kwa upendo, bhana acha anitukane mbele za watu na kujifanya kama anataka kunipiga.

Mimi nikamsoma nikajua tuu huyu hana lolote ni muoga tuu sema anafanya hivo kisa ameona mademu anatafuta sifa, ulimbukeni wa ajabu sana.

Mimi sikufanya chochote nikamwambia bac yaishe, umeshinda.

Nilim-mind sana, tulivotoka pale kesho yake nikamfata personally alikuwa peke yake kwaio tulikuwa peke yetu "Ntu mbili" mm na yeye, nikamwambia "mwanang jana si ulitaka unipige, nipige bac asaiv" akaanza kujifanya kama haelewi, nikamwambia tena kwa sauti ya juu "nataka tupigane kama ulivotaka tupigane jana, si ulikuwa unatafuta sifa kwa wale mademu njoo bac asaiv tuzichape ntu mbili" jamaa akaanza kuomba msamaha mwanang na kusema hakuwa serious eti alikuwa anatania.

Hapa tunajifunza nini?? "The more quiet the man is, the more dangerous he is"

Kuna thread za mabifu nimeona zimeongezeka humu JF tokea juzi na watu wakitaka kupigana, Kwenu UMUGHAKA Hance Mtanashati GENTAMYCINE LIKUD Mjanja M1 na wote weny mabifu, ukiona mtu anakuja kweny uzi wako na anaanza kukutukana na kukuoneshea ubabe bila sababu achana nae msianze kupanga siku za kukutana kupigana vitasa, wanaoweza hayo mambo huwanaga mdomo wa kujitambatamba na kujionesha kwa watu.
Duh, ukiona unagombana na mimi wewe ni fukarest
 
Well, hizo ndo consequences za real world.

Huku JF kuna false sense of security.

Mtaani hakuna hiyo security maana consequences zake ni real.

Kwa mfano, umeona huyo anayejiita ‘Mwamaleki’ anavyonishambulia?

Unadhani uraiani tukikutana atakuwa na huo ujasiri?

Akisema hayo maneno yake mbele yangu hatorudi mzima nyumbani kwake kama alivyotoka.

Akisema hivyo mbele yangu anaweza kabisa kurudi kwa wanae akiwa kibogoyo.

I’m just sayin’.
Umeona sasa ulivyo mweupe kichwani? Kwa vile hata hunijuwi nini kinakufanya uamini sitarudi salama. Kwanini usiamini mambo yatakua 50/50. Au wewe unapiga ulimwengu wote?

Maneno yasiwe mengi. Weka location nije asubuhi hii
 
Uje asubuhi hii? Kwani we uko wapi?

Maana hapa nilipo imekaribia saa tatu za usiku.

Unanipotezea muda tu.

Fcuk you 🖕.
 
Back
Top Bottom