Mabifu ya Jamii Forums yananichekeshaga sana

Mabifu ya Jamii Forums yananichekeshaga sana

Ndo maana huwa sipendi kabisa matatizo na mtu kwasababu najijua nilivyo,huwa nachokozwa!.

Huwa nikichokozwa ili hasira zangu zipoe ni lazima nikukung'ute kwanza!
Tuliza Mori kijana acha kuruka ruka.

Umesha cancel ratiba yako ya kesho kanisani ili tubadilishane punches.

Sidhani kama kuna haja ya kuendelea kuongea wakati tumeshamaliza mjadala PM
 
Kuwa na bifu na mtu usiyemjua mtandaoni ni ugonjwa wa akili, huo muda sijui watu wanaupata wapi jamani!
Kutwa kuanzisha thread za ugomvi, eh!

Ni maoni tu jamani msinivae, mi sitaki ugomvi na mtu ✌🏽
Hahhahahaha unajua hata Jf ina wanachama wengi wehu wakiwemo hao wasuojuana ila wanataka kwenda kupigana sijui wanachukiana…kwakweli ni wagonjwa sana na hawana shughuli za maana za kufanya!
 
Yaani we acha tu mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ananiambia nimpe pesa ya mafuta anifuate popote nilipo hata uani kwetu yupo tayari anipige mpaka aniue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaaaaaah qumamaqe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabla ya kufika hapo, mtu usiyemjua anakupandishaje hasira namna hiyo?

Unajua mtu akikujua akisema lolote juu yako ndipo mtu hupata hisia za maumivu na hasira, na wengi wao ni watu wazima kabisa!

Sijui, ila hayo wengine tuliyafanya wakati tunajiunga JF tukiwa watoto wa early 20’s.
nimelikumbuka lile bifu letu
 
Back
Top Bottom