Mabifu ya Jamii Forums yananichekeshaga sana

Mabifu ya Jamii Forums yananichekeshaga sana

Dawa za hawa wanaojifanya wanajua kutukuna wasiowajua ni kuwateka mmojammoja na kuwavua ubingwa.
 
Kuwa na bifu na mtu usiyemjua mtandaoni ni ugonjwa wa akili, huo muda sijui watu wanaupata wapi jamani!
Kutwa kuanzisha thread za ugomvi, eh!

Ni maoni tu jamani msinivae, mi sitaki ugomvi na mtu ✌
 
That’s why I don’t beef online, anymore.

Most JF folks are pussies. And I’m old school.

Ukinizingua tukikutana, it’s on-site.

Disrespect has no expiry date.

I’d rather people say it to my face halafu tuone kama mtu atarudi na meno yake nyumbani….
Hi ndo most effective method, sio watu Wana zunguka mbuyu kama majani.
 
Kuwa na bifu na mtu usiyemjua mtandaoni ni ugonjwa wa akili, huo muda sijui watu wanaupata wapi jamani!
Kutwa kuanzisha thread za ugomvi, eh!

Ni maoni tu jamani msinivae, mi sitaki ugomvi na mtu [emoji1422]
Wanajuana mwayaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna sehemu nlisoma kama sijakose majaamaa walipanga wakutane tabata shule uwanjani wazichape sasa ilipofika siku yule mwenye maneno mengi akafika, bwana bwana yule mkimya alivyofika jamaa kidali mwenye kelele walienda kumkamatia kule chini chura dume alitoka nduki kiroho mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom