Mabifu ya Jamii Forums yananichekeshaga sana

Kuwa na bifu na mtu usiyemjua mtandaoni ni ugonjwa wa akili, huo muda sijui watu wanaupata wapi jamani!
Kutwa kuanzisha thread za ugomvi, eh!

Ni maoni tu jamani msinivae, mi sitaki ugomvi na mtu ✌🏽
Mf . Nikakutukana vibaya mno hunijui wala sikujui ila ni hapa utakaa kimya tu hunijibu . Nipe ruhusa yako hapa sema yes tolea mf. Halafu tuone kama ugonjwa wa akili upo au haupo. Please say yes nikuonyeshe good example . Ndio utawalewa wanaorukiana humu. Kwa wema tu
 
Hivi wewe, kwani nimekukoseaga nini mwenzangu? Huwa sikuelewi hata.

Anyways, kama ni ruhusa unataka nimekupa.
Bring on hayo matusi mapya mwaya.
 
Hao wote ni
Kuwa na bifu na mtu usiyemjua mtandaoni ni ugonjwa wa akili, huo muda sijui watu wanaupata wapi jamani!
Kutwa kuanzisha thread za ugomvi, eh!

Ni maoni tu jamani msinivae, mi sitaki ugomvi na mtu ✌🏽
Hao wote ni vjana wa tisinisi acha wapigane tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…