GSM sidhani kama nitajiri kama tunavomuona naamini kuna mikono mingi sana ya Wanasiasa."Huyu Strive Masiyiwa utajiri wake ni sawa na wa Mo, Bakheresa na GSM kwa pamoja"
Naomba thibitisha hili tafadhali.
ingependeza ungetoa na statistics.......
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Na Gharib.Watawala wananufaika zaidi na watu magumashi kama wakina Chivayo.
Ni mmojawapo wa mabilionea wachache Africa ambao biashara zao zimenyooka kweli, hazina kona kona na hategemei kubebwa na watawala kama matajiri wengi wa bara hili ambao ni tendepreneurs na wezi wa rasilimali.Masisiwa anaikopesha serikali kujenga bara bara harafu anarudishiwa pesa bila riba huyo jamaa ana balaa sana kawarudisha Wazimbabwe waliokwama SA kawapa usafiri na nauli za kuelekea vijijini kutoka Harare wote alipeleka bus nyingi sana na hataki mambo ya kelele akifanya anatulia..
Na pia anapata kazi nyingi nje ya Zimbabwe kawaambia Econet wafanye mpango wawape ajira wanaorudishwa SA kuwajiri watu 30,000 kwa kazi za kuwapa training ya muda mchache na maisha yaendelee hana complication kabisa..Ni mmojawapo wa mabilionea wachache Africa ambao biashara zao zimenyooka kweli, hazina kona kona na hategemei kubebwa na watawala kama matajiri wengi wa bara hili ambao ni tendepreneurs na wezi wa rasilimali.
Yatosha nasema yatosha. Tuacheni tumuomboleze ndugu yetu Wicknell Chivayo kwa amani.Sijui ilikuaje bongo mabilionea uchwara na wababaishaji wakafahamika na kuwa maarufu zaidi kuliko bilionea halisi.
Hapa bongo mabilionea wanaofahamika kutoka Zimbabwe ni matepeli tu kama Ginimbi, Chivayo na baba yake Tony Kapola, Uebert Angel ila Zimbabwe ina bilionea wa kweli usiyiweza kumsikia anaitwa Strive Masiyiwa.
Huyu Strive Masiyiwa utajiri wake ni sawa na wa Mo, Bakheresa na GSM kwa pamoja. Ana kampuni kubwa zinaitwa Econet na Cassava Technologies za huduma za mawasiliano ya simu, internet, na nishati mbadala.
Huyu bwana ni tajiri kweli, msomi haswa na mtu asiye chawa wa utawala wa ZANU PF tofauti na matajiri wa nchi nyingi za kiAfrica.
Kuna manzi nilikutana nae amevaa hio ila kuna zile nyepesi imechora mpakakuma inaonekana ileee ilibidi nikwepeshe machoYatosha nasema yatosha. Tuacheni tumuomboleze ndugu yetu Wicknell Chivayo kwa amani.
Hata hivyo Vale Nafaka yupo. Kwani ni mfariji kwetu wakati wa huzuni.
View attachment 3682796
Waangalie maskini wanapiga hesabu za matajiri wakiwa kijiweni. Yaani wanajua utajiri wa hao matajiri vichwani mwao bila kuhitaji access yyte. Hawa ndiyo maskini wa bongoGSM sidhani kama nitajiri kama tunavomuona naamini kuna mikono mingi sana ya Wanasiasa.
Ndio maana ulimuona alitoa bilion 10 kwenye harambee ya CCM naana anajua mifumo ya serkali anafanya nayo kazi vizuri.
Ukiangalia hata ICD kapatiwa maeneo haya ya Jeshi na maeneo mengine mengi kuendesha boashara.
Oya jombii tuachie Vale wetu.Yatosha nasema yatosha. Tuacheni tumuomboleze ndugu yetu Wicknell Chivayo kwa amani.
Hata hivyo Vale Nafaka yupo. Kwani ni mfariji kwetu wakati wa huzuni.
View attachment 3682796
Ukiuchekea umasikini hautakuacha salama.Waangalie maskini wanapiga hesabu za matajiri wakiwa kijiweni. Yaani wanajua utajiri wa hao matajiri vichwani mwao bila kuhitaji access yyte. Hawa ndiyo maskini wa bongo
Huyu sasa ndiye bilionea. Ukishaona showoffs nyiiingi ni highly questionable. Showoffs mara nyingi zinabeba ill-motives.Masisiwa anaikopesha serikali kujenga bara bara harafu anarudishiwa pesa bila riba huyo jamaa ana balaa sana kawarudisha Wazimbabwe waliokwama SA kawapa usafiri na nauli za kuelekea vijijini kutoka Harare wote alipeleka bus nyingi sana na hataki mambo ya kelele akifanya anatulia..
Ndo maana halisi ya aibu utaona wewe au sioKuna manzi nilikutana nae amevaa hio ila kuna zile nyepesi imechora mpakakuma inaonekana ileee ilibidi nikwepeshe macho
Hata wao ni masikini tu, Tajiri gani anahangaika na kuibia Wananchi wake kila kukicha. Utajiri wa mtu unaanzia ndani yake.Waangalie maskini wanapiga hesabu za matajiri wakiwa kijiweni. Yaani wanajua utajiri wa hao matajiri vichwani mwao bila kuhitaji access yyte. Hawa ndiyo maskini wa bongo