Jamaa wa moto sana kama amefikiwa hatua ya kuaminika na kuwa mjumbe wa Rockefeller Foundation basi huyo sio mwenzetu.Telecom tycoon Strive Masiyiwa. Huyo mshua anajenga Data Center ya kwanza Africa. Anatoa scholarships kwa miaka mingi sana vijana kusoma science subjects Ulaya na Marekani. Huwezi msikia kwenye upompo wa kuonyesha migari, mapesa, kujipendekeza kwa wanasiasa, kupost wanawake na mindege.
Huyo jamaa ni moja ya binadamu wachache wajumbe wa bodi ya Rockefeller Foundation.
Rockefeller ? Wazee wa chama.Telecom tycoon Strive Masiyiwa. Huyo mshua anajenga Data Center ya kwanza Africa. Anatoa scholarships kwa miaka mingi sana vijana kusoma science subjects Ulaya na Marekani. Huwezi msikia kwenye upompo wa kuonyesha migari, mapesa, kujipendekeza kwa wanasiasa, kupost wanawake na mindege.
Huyo jamaa ni moja ya binadamu wachache wajumbe wa bodi ya Rockefeller Foundation.
Mtu noma sana huyo.Bodi nyingine alizo mjumbe ni pamoja na Netflix, Bill Gates Foundation, National Geographic Society, Unilever
Niwe mkweli.Strive Masiyiwa ndiye nilikuwa namjua ana mbuni za kutosha hadi mbuni tena.Hao akina Ginimbi na baadaye Wiknell Chivayo aka the dude na wengine nilidhani wanajihusisha na sanaa za majukwaani/filamu za hapa na pale kama Joti tu.Sijui ilikuaje bongo mabilionea uchwara na wababaishaji wakafahamika na kuwa maarufu zaidi kuliko bilionea halisi.
Hapa bongo mabilionea wanaofahamika kutoka Zimbabwe ni matepeli tu kama Ginimbi, Chivayo na baba yake Tony Kapola, Uebert Angel ila Zimbabwe ina bilionea wa kweli usiyiweza kumsikia anaitwa Strive Masiyiwa.
Huyu Strive Masiyiwa utajiri wake ni sawa na wa Mo, Bakheresa na GSM kwa pamoja. Ana kampuni kubwa zinaitwa Econet na Cassava Technologies za huduma za mawasiliano ya simu, internet, na nishati mbadala.
Huyu bwana ni tajiri kweli, msomi haswa na mtu asiye chawa wa utawala wa ZANU PF tofauti na matajiri wa nchi nyingi za kiAfrica.
Subhanallah kijana wangu! Mswalie mtume Muhammad SAW!Unajua huyu amekuwa maarufu baada ya kuanza kumkaza mama nanilii.
Naunga mkonoGSM sidhani kama nitajiri kama tunavomuona naamini kuna mikono mingi sana ya Wanasiasa.
Ndio maana ulimuona alitoa bilion 10 kwenye harambee ya CCM naana anajua mifumo ya serkali anafanya nayo kazi vizuri.
Ukiangalia hata ICD kapatiwa maeneo haya ya Jeshi na maeneo mengine mengi kuendesha boashara.
AisehBodi nyingine alizo mjumbe ni pamoja na Netflix, Bill Gates Foundation, National Geographic Society, Unilever
Hii Picha alipigia wapiYatosha nasema yatosha. Tuacheni tumuomboleze ndugu yetu Wicknell Chivayo kwa amani.
Hata hivyo Vale Nafaka yupo. Kwani ni mfariji kwetu wakati wa huzuni.
View attachment 3682796
AhahahahahahahahhahahahahaSubhanallah kijana wangu! Mswalie mtume Muhammad SAW!
Jamaa wa moto sana kama amefikiwa hatua ya kuaminika na kuwa mjumbe wa Rockefeller Foundation basi huyo sio mwenzetu.
Sorry, hizi ni story A.K.A porojo.GSM sidhani kama nitajiri kama tunavomuona naamini kuna mikono mingi sana ya Wanasiasa.
Ndio maana ulimuona alitoa bilion 10 kwenye harambee ya CCM naana anajua mifumo ya serkali anafanya nayo kazi vizuri.
Ukiangalia hata ICD kapatiwa maeneo haya ya Jeshi na maeneo mengine mengi kuendesha boashara.
mbona makasiriko, Vipi wewe ni Ommy nini maana kumgusa kidogo tu GSM kelele na maneno mengi.YBWYB.Sorry, hizi ni story A.K.A porojo.
We andika
Mo utajiri wake .....
GSM utajiri wake zero (kama ulivyosema hana kitu)
Endelea na wengine, halafu acha sisi tutoe hizo porojo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sijaelewa braza?mbona makasiriko, Vipi wewe ni Ommy nini maana kumgusa kidogo tu GSM kelele na maneno mengi.YBWYB.
Ngoja ni msaidie JamaaSorry, hizi ni story A.K.A porojo.
We andika
Mo utajiri wake .....
GSM utajiri wake zero (kama ulivyosema hana kitu)
Endelea na wengine, halafu acha sisi tutoe hizo porojo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA