Mabingwa wa Afrika Wydad Casablanca watuma ofa Simba SC

Mie naona km pesa inalipa wamuuze afu tutafute wachezaji wenginee, pia waangalie mchezaji mwenyewe anatakaje. Huku maslahi yakiwa kipaumbelee zaidi.

Simba ni daraja la mafanikio ya mtu.
Good idea... umetoa options mbili nzuri kabisa..
 
Iliyotoa offer ya Dola laki 8 ni Ile Wydad ya Matombo Morogolo.
 
Auzwe tu maana Sakho kuna muda anaweza igharimu timu kwa uchoyo au vile vibaiskeli vyake vya kutaka asepe na kijiji
Mpira hautabiriki na madili kama haya huwa hayaji mara mbili, kama vipi auzwe...
 
Bora aisee Mo anarudisha hasara aliyopata.
Kama Sakho akiuzwa hapo ni sawa Simba SC imeshafika robo fainali klabu bingwa Afrika, bado tena wakipambana uwanjani wafike robo fainali wanapata bilioni 1.5, ukijumlisha hapo Simba inaingiza bilioni 3 faster..

Nyienasubiri mikataba ya NBC tu, ndio maana hata pale Uturuki pamewashinda..
 
Mkuu hizo herufi mbili za mwanzo kwenye jina lako huwa zinanichanganya na yule jamaa wa Utopolo yaani..
 
Biashara mzuri..supu inakunywa ikiwa ya moto..
 
Mo anajilipa hasara alizopata
 
Pamoja na yote, unaweza kataa huo mzigo waliouweka mezani?
Tuangalie kwanza malengo yetu. Tuliuza Kondeboy na Chama kwa tamaa ya hela matokeo yake si unaona tulivyopoteza focus. Hawa wana agenda ya siri, wanataka waendelee ku dominate soka la Africa sasa kwa vile ni matajiri wanaweza kuchukua mchezaji yoyote toka huku kwetu hata kama hawamuhitaji kivile. Mfano hai ni huyu Kondeboy. Waarabu wana hila sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…