Mabingwa wa Afrika Wydad Casablanca watuma ofa Simba SC

Mabingwa wa Afrika Wydad Casablanca watuma ofa Simba SC

Mabingwa pesa inakataje sasa?

Mo ndiyo pesa imekata ndiyomaana anauza wachezaji wote wa gharama kubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachezaji wameonesha kiwango, wanatakiwa na club za mbeleee, why wasiende? Kila mtu anatafuta mafanikio.

Na sio Sakho tyuuh hadi Kanoute pia. Simba ni chuo cha mpira wa miguu Tanzania, bm3 alishasema, tatizo yeye kadisco.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.
 
🚨 KUTOKA KWA BUGATI

Kupanga ni kuchagua. Wakati Yanga akichukua Treble this season kwa kushinda Ngao Ya Jamii, Azam federation na Ligi kuu, Makolo Treble zao ni

👉Mpole Cup

👉Sopu Cup

👉Sakho Cup Kiufupi chake Treble ya Manyonyo inaitwa MSOSA.

Nb :: Tabu ipo pale pale Makolo,,hadi mtueleze kale katwenty mmekaficha wapi 🤪🤪 MSOSA KAMA MSOSA TREBLE 🤪🤪 Byuti Byuti 🏆🏆🏆
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachezaji wameonesha kiwango, wanatakiwa na club za mbeleee, why wasiende? Kila mtu anatafuta mafanikio.

Na sio Sakho tyuuh hadi Kanoute pia. Simba ni chuo cha mpira wa miguu Tanzania, bm3 alishasema, tatizo yeye kadisco.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.
Sakho kafanya vizuri ila club haina kiwango ndiyo maana imefungwa hadi na kagera sugar 😂
 
Kila la kheri timu ya Soka la Taifa la Somalia kwenye mechi yake ya leo na KARIA FC!
 
Hili nalo neno
Hii pointi ya maana, ila Konde boy kule Ahly wanamlipa mapesa ya kutosha labda akubali kupunguza mshahara..

Wale wajinga kumlipa mtu dola laki moja kwa mwezi [milioni 123] sio kazi kwao.
 
Sakho kafanya vizuri ila club haina kiwango ndiyo maana imefungwa hadi na kagera sugar [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simba ni liduuuuudeeeeee flani hivii likubwaaaaaaaaaah.

Km hutaki tapika, weraaaaaaaah!!!

Byuti byuti.
 
Ni wazo la kijinga kwa vile hujaelewa mantiki yangu. Na mimi wazo lako pia naliona la kipumbavu sana. Huyu dogo akibaki hapa akacheza msimu huu na akaperform vizuri anaweza kuonwa na vilabu vikubwa zaidi ya hao wydad na akauzwa kwa hela nzuri zaidi na pia atakuwa ameisaidia Simba.
Hii sasa inakuwa kama kucheza kamari, anaweza kuonwa kama ata perform vizuri, au asionwe kama hata perform, sasa kuliko kuicheza hii kamari halafu tuje kuliwa naona bora auzwe sasa.
 
Hata mie nasema Auzwee tyuuh, unaweza shangaa msimu huyu ata flope vibaya, sie tuchukue pesa, tuvute manzoki na Okwaa, afu tunatuliaaa.
We mtoto umesomea wapi mpira..!!!
 
Soka la Bongo halitabiriki, huyu Sakho auzwee tyuuh.
Msimu unaokuja unaweza shangaa akashuka vibayaa mnoo.

Km pesaa inalipa auzweee. Tuchukue wachezaji wengine.
Kuna wazee wa misumari wale hawana huruma kabisa..
 
[emoji599] KUTOKA KWA BUGATI

Kupanga ni kuchagua. Wakati Yanga akichukua Treble this season kwa kushinda Ngao Ya Jamii, Azam federation na Ligi kuu, Makolo Treble zao ni

[emoji117]Mpole Cup

[emoji117]Sopu Cup

[emoji117]Sakho Cup Kiufupi chake Treble ya Manyonyo inaitwa MSOSA.

Nb :: Tabu ipo pale pale Makolo,,hadi mtueleze kale katwenty mmekaficha wapi [emoji2957][emoji2957] MSOSA KAMA MSOSA TREBLE [emoji2957][emoji2957] Byuti Byuti [emoji471][emoji471][emoji471]
Hata maana ya treble huyo mfungwa wenu haijui!

Mwambie autumie vizuri huu muda wa kifungo kujifunza.
 
Masikini kolos [emoji23]
Mbona utopolo mlitaka kile kiatu cha NBC George Mpole akawanyan'ganya mkaanza kukililia hatusemi?!

GOLI BORA LA MWAKA AFRIKA, hii ni tuzo kubwa zaidi ya kushinda NBC Premier League tuliyochukua mara tatu mfululizo mpaka ikapoteza ladha..

Simba SC imekuwa klabu ya kwanza Afrika Mashariki, Kati, na Kusini kuileta hii tuzo, makofi tafadhali....
 
Hii misukule ya Ghalib haijitambui
 
Nani bingwa msimu huu?

Tuanzie hapo kwanza.
 
Hata maana ya treble huyo mfungwa wenu haijui!

Mwambie autumie vizuri huu muda wa kifungo kujifunza.
Maana nzuri ya Treble ipo kwenu baada ya Kuchukua Makombe mawili ya ndani yaani Sopu cup na Mpole cup na baadae mkachukua kombe la afrika Sakho cup

Yaani MSOSA TREBLE
 
Back
Top Bottom