Mabingwa wa Afrika Wydad Casablanca watuma ofa Simba SC

Mabingwa wa Afrika Wydad Casablanca watuma ofa Simba SC

Masikini kolos [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnateseka na kuumia mkiwa wapiiiii????
Bado mtaugulia ndani kwa ndani hadi mvimbe na kuumuka km tumbua lililo lala.

Weraaaaaaaaaah!!! Byuti byuti.
 
Nani bingwa msimu huu?

Tuanzie hapo kwanza.
Huo ubingwa ni kupokezana tu, kama wewe una ubavu jaribu kupokezana nami tuzo ya goli bora la mwaka Afrika.

Dogo uwe na adabu kwa wakubwa zako!.

Mnyama anapotia mguu wewe hata kupatazama huwezi.
 
Huo ubingwa ni kupokezana tu, kama wewe una ubavu jaribu kupokezana nami tuzo ya goli bora la mwaka Afrika.

Dogo uwe na adabu kwa wakubwa zako!.

Mnyama anapotia mguu wewe hata kupatazama huwezi.
Jibu swali.

Nani bingwa msimu huu?
 
Una maana FIFA walitoa hukumu kwa kumsikiliza Msuva peke yake? Mbona ni mantiki ya kawaida tu kulielwa hili.

Nimesema hivi, lete clip nasi tujionee, au lete clip ya wasemaji wa wydad. na sio kufuata mkumbo wa wengine wanachokisema nawe unafuata, hujasikiliza upande wa pili wa mshitakiwa ukajua ukweli wa simon.
 
Back
Top Bottom