SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
FIFA walisikiliza pande zote mbiliUmesikiliza na upande wa pili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FIFA walisikiliza pande zote mbiliUmesikiliza na upande wa pili?
Wydad ni washenzi fulani hivi kitendo walichomfanyia Msuva nimewachukia sana. Hao nia yao ni kuvunja nguvu vilabu vya huku kwetu
FIFA walisikiluza pande zote mbili
Wewe naona hata exchange rate ya dola dhidi ya madafu yenu hujui, unayapa madafu yenu thamani ambayo hayana kabisa kwani ni makaratasi tu.Hii pointi ya maana, ila Konde boy kule Ahly wanamlipa mapesa ya kutosha labda akubali kupunguza mshahara..
Wale wajinga kumlipa mtu dola laki moja kwa mwezi [milioni 123] sio kazi kwao.
Mchezaji anaeongoza Kwa mshahara mkubwa Africa ni Percy Tau WA Al Ahly - Dola 100,000 Kwa mweziHii pointi ya maana, ila Konde boy kule Ahly wanamlipa mapesa ya kutosha labda akubali kupunguza mshahara..
Wale wajinga kumlipa mtu dola laki moja kwa mwezi [milioni 123] sio kazi kwao.
Wewe kwa akili yako kiduchu unafikiri FIFA wametoa hukumu kwa kumsikiliza Msuva peke yake?Hata ukiwachukia huwapunguzii kitu, bali unaumia na kuteseka. Unaongea bila fact with evidence, umesikiliza upande mmoja tu, je! Upande wa pili umewasikiliza na kujua ukweli? Je! Kama msuva ndie kawadhulumu!!
Una maana FIFA walitoa hukumu kwa kumsikiliza Msuva peke yake? Mbona ni mantiki ya kawaida tu kulielwa hili.Lete hicho kiclip ulichoshuhudia nasi tujionee
Halafu bahati mbaya yuko benchi wanataka kumtoa kwa mkopo..Mchezaji anaeongoza Kwa mshahara mkubwa Africa ni Percy Tau WA Al Ahly - Dola 100,000 Kwa mwezi
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hizi ni akili za kiafrika kabisa.Wenzako wananunua mchezaji kulingana na kiwango.Kiwango kikishuka unakaa bench au kuuzwa.hilo wazo lakusema wanazoofisha timu zingine ni wazo lakijinga sana.kwasababu ata wewe unaruhusiwa kununua wachezaji popote duniani.Unatakiwa ujue kua mpira ni biashara na wachezaji ndio bidhaa yenyewe.Simba kile ndio kilikua kiwango chake.Umaskini wetu ndio tatizo tuache lawama kwa wengine.Tuangalie kwanza malengo yetu. Tuliuza Kondeboy na Chama kwa tamaa ya hela matokeo yake si unaona tulivyopoteza focus. Hawa wana agenda ya siri, wanataka waendelee ku dominate soka la Africa sasa kwa vile ni matajiri wanaweza kuchukua mchezaji yoyote toka huku kwetu hata kama hawamuhitaji kivile. Mfano hai ni huyu Kondeboy. Waarabu wana hila sana.
AuzweTaarifa nilizozipata muda huu zinasema mabingwa wa Afrika, Wydad Casablanca, wametuma ofa ya dola laki nane za kimarekani [bilioni 1.8 za kitanzania] ili wamnase Pape O. Sakho raia wa Senegal.
Hali ya mambo inaonekana kuwavuruga mabosi wa Simba SC, huku wengine wakitaka asiuzwe, na wengine wakisema auzwe.
Wale wanaotaka asiuzwe wanakuja na hoja kwamba, kwa umri mdogo wa Sakho, miaka 25, bado ana muda wa kutosha kuongezewa mkataba na Simba SC, ili kama wakija kumuuza mbele ya safari wamuuze kwa bei kubwa zaidi.
Wengine wakisema, dili kama hili haliji kila wakati, hivyo wameishauri klabu ya Simba SC wasirembe, wabebe huo mzigo wa waarabu "faster" wakautumie kuimarisha kikosi kwenye maeneo mengine.
Vipi wewe mdau wa JF, Pape O. Sakho, mshindi wa goli bora la mwaka CAF, auzwe au asiuzwe?
Ni wazo la kijinga kwa vile hujaelewa mantiki yangu. Na mimi wazo lako pia naliona la kipumbavu sana. Huyu dogo akibaki hapa akacheza msimu huu na akaperform vizuri anaweza kuonwa na vilabu vikubwa zaidi ya hao wydad na akauzwa kwa hela nzuri zaidi na pia atakuwa ameisaidia Simba.Hizi ni akili za kiafrika kabisa.Wenzako wananunua mchezaji kulingana na kiwango.Kiwango kikishuka unakaa bench au kuuzwa.hilo wazo lakusema wanazoofisha timu zingine ni wazo lakijinga sana.kwasababu ata wewe unaruhusiwa kununua wachezaji popote duniani.Unatakiwa ujue kua mpira ni biashara na wachezaji ndio bidhaa yenyewe.Simba kile ndio kilikua kiwango chake.Umaskini wetu ndio tatizo tuache lawama kwa wengine.
Haswaaaah. Win to win situation.Good idea... umetoa options mbili nzuri kabisa..
Hata mie nasema Auzwee tyuuh, unaweza shangaa msimu huyu ata flope vibaya, sie tuchukue pesa, tuvute manzoki na Okwaa, afu tunatuliaaa.Mpira hautabiriki na madili kama haya huwa hayaji mara mbili, kama vipi auzwe...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaamua kuwaswaga Kigamboni.Gsm hajazira
Soka la Bongo halitabiriki, huyu Sakho auzwee tyuuh.Ni wazo la kijinga kwa vile hujaelewa mantiki yangu. Na mimi wazo lako pia naliona la kipumbavu sana. Huyu dogo akibaki hapa akacheza msimu huu na akaperform vizuri anaweza kuonwa na vilabu vikubwa zaidi ya hao wydad na akauzwa kwa hela nzuri zaidi na pia atakuwa ameisaidia Simba.
Yeye anatafuta mafanikio yake binafsi hajali mambo ya timu .Mpaka hapo kafanikiwa.Auzwe tu maana Sakho kuna muda anaweza igharimu timu kwa uchoyo au vile vibaiskeli vyake vya kutaka asepe na kijiji
Mabingwa pesa inakataje sasa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaamua kuwaswaga Kigamboni.
Azile vipi tenaaa??? Pesa imekataaa. Poleeeeeeh.
Byuti byuti.