Mabingwa wa Afrika Wydad Casablanca watuma ofa Simba SC

Wydad ni washenzi fulani hivi kitendo walichomfanyia Msuva nimewachukia sana. Hao nia yao ni kuvunja nguvu vilabu vya huku kwetu

Hata ukiwachukia huwapunguzii kitu, bali unaumia na kuteseka. Unaongea bila fact with evidence, umesikiliza upande mmoja tu, je! Upande wa pili umewasikiliza na kujua ukweli? Je! Kama msuva ndie kawadhulumu!!
 
Hii pointi ya maana, ila Konde boy kule Ahly wanamlipa mapesa ya kutosha labda akubali kupunguza mshahara..

Wale wajinga kumlipa mtu dola laki moja kwa mwezi [milioni 123] sio kazi kwao.
Wewe naona hata exchange rate ya dola dhidi ya madafu yenu hujui, unayapa madafu yenu thamani ambayo hayana kabisa kwani ni makaratasi tu.
 
Hii pointi ya maana, ila Konde boy kule Ahly wanamlipa mapesa ya kutosha labda akubali kupunguza mshahara..

Wale wajinga kumlipa mtu dola laki moja kwa mwezi [milioni 123] sio kazi kwao.
Mchezaji anaeongoza Kwa mshahara mkubwa Africa ni Percy Tau WA Al Ahly - Dola 100,000 Kwa mwezi

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hata ukiwachukia huwapunguzii kitu, bali unaumia na kuteseka. Unaongea bila fact with evidence, umesikiliza upande mmoja tu, je! Upande wa pili umewasikiliza na kujua ukweli? Je! Kama msuva ndie kawadhulumu!!
Wewe kwa akili yako kiduchu unafikiri FIFA wametoa hukumu kwa kumsikiliza Msuva peke yake?
 
Wewe naona hata exchange rate ya dola dhidi ya madafu yenu hujui, unayapa madafu yenu thamani ambayo hayana kabisa kwani ni makaratasi tu.
Sina huo muda wa kuhangaika na exchange rate, hapo nimekadiria tu.
 
Hizi ni akili za kiafrika kabisa.Wenzako wananunua mchezaji kulingana na kiwango.Kiwango kikishuka unakaa bench au kuuzwa.hilo wazo lakusema wanazoofisha timu zingine ni wazo lakijinga sana.kwasababu ata wewe unaruhusiwa kununua wachezaji popote duniani.Unatakiwa ujue kua mpira ni biashara na wachezaji ndio bidhaa yenyewe.Simba kile ndio kilikua kiwango chake.Umaskini wetu ndio tatizo tuache lawama kwa wengine.
 
Auzwe
 
Ni wazo la kijinga kwa vile hujaelewa mantiki yangu. Na mimi wazo lako pia naliona la kipumbavu sana. Huyu dogo akibaki hapa akacheza msimu huu na akaperform vizuri anaweza kuonwa na vilabu vikubwa zaidi ya hao wydad na akauzwa kwa hela nzuri zaidi na pia atakuwa ameisaidia Simba.
 
Mpira hautabiriki na madili kama haya huwa hayaji mara mbili, kama vipi auzwe...
Hata mie nasema Auzwee tyuuh, unaweza shangaa msimu huyu ata flope vibaya, sie tuchukue pesa, tuvute manzoki na Okwaa, afu tunatuliaaa.
 
Soka la Bongo halitabiriki, huyu Sakho auzwee tyuuh.
Msimu unaokuja unaweza shangaa akashuka vibayaa mnoo.

Km pesaa inalipa auzweee. Tuchukue wachezaji wengine.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaamua kuwaswaga Kigamboni.

Azile vipi tenaaa??? Pesa imekataaa. Poleeeeeeh.

Byuti byuti.
Mabingwa pesa inakataje sasa?

Mo ndiyo pesa imekata ndiyomaana anauza wachezaji wote wa gharama kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…