[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachezaji wameonesha kiwango, wanatakiwa na club za mbeleee, why wasiende? Kila mtu anatafuta mafanikio.Mabingwa pesa inakataje sasa?
Mo ndiyo pesa imekata ndiyomaana anauza wachezaji wote wa gharama kubwa.
Sakho kafanya vizuri ila club haina kiwango ndiyo maana imefungwa hadi na kagera sugar 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachezaji wameonesha kiwango, wanatakiwa na club za mbeleee, why wasiende? Kila mtu anatafuta mafanikio.
Na sio Sakho tyuuh hadi Kanoute pia. Simba ni chuo cha mpira wa miguu Tanzania, bm3 alishasema, tatizo yeye kadisco.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Byuti byuti.
Hii pointi ya maana, ila Konde boy kule Ahly wanamlipa mapesa ya kutosha labda akubali kupunguza mshahara..
Wale wajinga kumlipa mtu dola laki moja kwa mwezi [milioni 123] sio kazi kwao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simba ni liduuuuudeeeeee flani hivii likubwaaaaaaaaaah.Sakho kafanya vizuri ila club haina kiwango ndiyo maana imefungwa hadi na kagera sugar [emoji23]
Dude msimu huu limeshinda kombe gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simba ni liduuuuudeeeeee flani hivii likubwaaaaaaaaaah.
Km hutaki tapika, weraaaaaaaah!!!
Byuti byuti.
Goal bora la mwaka CAF.Dude msimu huu limeshinda kombe gani?
Masikini kolos 😂Goal bora la mwaka CAF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
byuti byuti.
Hii sasa inakuwa kama kucheza kamari, anaweza kuonwa kama ata perform vizuri, au asionwe kama hata perform, sasa kuliko kuicheza hii kamari halafu tuje kuliwa naona bora auzwe sasa.Ni wazo la kijinga kwa vile hujaelewa mantiki yangu. Na mimi wazo lako pia naliona la kipumbavu sana. Huyu dogo akibaki hapa akacheza msimu huu na akaperform vizuri anaweza kuonwa na vilabu vikubwa zaidi ya hao wydad na akauzwa kwa hela nzuri zaidi na pia atakuwa ameisaidia Simba.
Hata maana ya treble huyo mfungwa wenu haijui![emoji599] KUTOKA KWA BUGATI
Kupanga ni kuchagua. Wakati Yanga akichukua Treble this season kwa kushinda Ngao Ya Jamii, Azam federation na Ligi kuu, Makolo Treble zao ni
[emoji117]Mpole Cup
[emoji117]Sopu Cup
[emoji117]Sakho Cup Kiufupi chake Treble ya Manyonyo inaitwa MSOSA.
Nb :: Tabu ipo pale pale Makolo,,hadi mtueleze kale katwenty mmekaficha wapi [emoji2957][emoji2957] MSOSA KAMA MSOSA TREBLE [emoji2957][emoji2957] Byuti Byuti [emoji471][emoji471][emoji471]
Mbona utopolo mlitaka kile kiatu cha NBC George Mpole akawanyan'ganya mkaanza kukililia hatusemi?!Masikini kolos [emoji23]
Hii misukule ya Ghalib haijitambuiMbona utopolo mlitaka kile kiatu cha NBC George Mpole akawanyan'ganya mkaanza kukililia hatusemi?!
GOLI BORA LA MWAKA AFRIKA, hii ni tuzo kubwa zaidi ya kushinda NBC Premier League tuliyochukua mara tatu mfululizo mpaka ikapoteza ladha..
Simba SC imekuwa klabu ya kwanza Afrika Mashariki, Kati, na Kusini kuileta hii tuzo, makofi tafadhali....
Muulize huu usajili unaoendelea analipa Ghalib hiyo hela? Wao wamesajili wagonjwa na wazee sisi tunawakaushia tu.Mbona huruma mtani...jiamini inaonekana hata sauti yako imekata!
Nani bingwa msimu huu?Mbona utopolo mlitaka kile kiatu cha NBC George Mpole akawanyan'ganya mkaanza kukililia hatusemi?!
GOLI BORA LA MWAKA AFRIKA, hii ni tuzo kubwa zaidi ya kushinda NBC Premier League tuliyochukua mara tatu mfululizo mpaka ikapoteza ladha..
Simba SC imekuwa klabu ya kwanza Afrika Mashariki, Kati, na Kusini kuileta hii tuzo, makofi tafadhali....
Maana nzuri ya Treble ipo kwenu baada ya Kuchukua Makombe mawili ya ndani yaani Sopu cup na Mpole cup na baadae mkachukua kombe la afrika Sakho cupHata maana ya treble huyo mfungwa wenu haijui!
Mwambie autumie vizuri huu muda wa kifungo kujifunza.
Ukadiriaji wako hauna kabisa maana.Sina huo muda wa kuhangaika na exchange rate, hapo nimekadiria tu.