[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnateseka na kuumia mkiwa wapiiiii????Masikini kolos [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nafuatilia kwa kupapasia hivi hivi.We mtoto umesomea wapi mpira..!!!
Biashara asubuh, jioni mahesabu.Kuna wazee wa misumari wale hawana huruma kabisa..
Huo ubingwa ni kupokezana tu, kama wewe una ubavu jaribu kupokezana nami tuzo ya goli bora la mwaka Afrika.Nani bingwa msimu huu?
Tuanzie hapo kwanza.
Ndio hao, wale sio watu aseWydad si ndo waliompiga Billionaire Msuva na kitu kizito?
Jibu swali.Huo ubingwa ni kupokezana tu, kama wewe una ubavu jaribu kupokezana nami tuzo ya goli bora la mwaka Afrika.
Dogo uwe na adabu kwa wakubwa zako!.
Mnyama anapotia mguu wewe hata kupatazama huwezi.
Nitashangaa kama wataamua kumuuza kwa waliokosa ubinadam ati kwa kutaka pesaWydad si ndo waliompiga Billionaire Msuva na kitu kizito?
Nitashangaa kama wataamua kumuuza kwa waliokosa ubinadam ati kwa kutaka pesa
Masikini KabwilisMasikini kolos [emoji23]
Vipi huko misri mmecheza na timu ipi kati ya zile mbili mnazojichanganya kwenye maelezo?πππMasikini Kabwilis
Ohh masikini πUbingwa kwetu Msimbazi sio issue, chup cha mpira tuko busy tunatengeneza magoli bora Afrika.
Haikuhusu.Vipi huko misri mmecheza na timu ipi kati ya zile mbili mnazojichanganya kwenye maelezo?[emoji23][emoji23][emoji23]
Una maana FIFA walitoa hukumu kwa kumsikiliza Msuva peke yake? Mbona ni mantiki ya kawaida tu kulielwa hili.