Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #61
Naona mtt anacheza sugar sukarii ๐ถ๐ถ๐ถ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐
Ndio hivyo, wakati mwingine uongo unasogeza sikuWaache wawe waongo tupate story
Kama wewe ๐Wanajifanya majike kumbe wana TEZI NDUME.
ha ha ha pata balimi kwa hisani ya mkoba wakoHivi kuna mtu anakuzidi wewe kwa chai humu.?? ๐๐๐
Nikisoma uzi nikiona ni ww naendelea na mambo mengine najua fix tyuuu hapa..!!!
Nilidhani umetaja angalau mmojaWakuu habari?
Natumaini wote mko wazima huku mkijiandaa kusherehekea ufufuko wa bwana.
Humu ndani kuna mabingwa wa kutunga nyuzi za uongo uongo; ukisoma mstari wa kwanza mpaka wa mwisho, unakuta hakuna uhalisia wowote.
Ebu tuwataje hawa mabingwa, ikiwezekana wapate pepsi kwa gharama ya mifuko yao.
Nipo pale, napata gahawa.
Twende kazi
Nimechek profile yako nikajua weee mwenyewe muongo muongo tuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Wa kwanza wewe, wa pili yule Mjanja nini nini sijui.
Wakati mwingine teknolojia inasaidia kuondoa stress mkuuNaona mtt anacheza sugar sukarii ๐ถ๐ถ๐ถ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐
Tayari wameshatajwa ๐Nilidhani umetaja angalau mmoja
๐๐๐
Wakuu habari?
Natumaini wote mko wazima huku mkijiandaa kusherehekea ufufuko wa bwana.
Humu ndani kuna mabingwa wa kutunga nyuzi za uongo uongo; ukisoma mstari wa kwanza mpaka wa mwisho, unakuta hakuna uhalisia wowote.
Ebu tuwataje hawa mabingwa, ikiwezekana wapate pepsi kwa gharama ya mifuko yao.
Nipo pale, napata gahawa.
Twende kazi
Hii yenyewe umetungaEbu tikisa miguu na mikono
Shida tuki kataa mazoea nao, Wana geuka haters.Intelligent businessman hajawahi kuandika chai, vungeni wadau
Chinga ktk Moja na mbiliKuna popoma Kuna Elon musk aka chagamba muomba afu tatu
๐๐๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐ AfutatuChinga ktk Moja na mbili
Ebu njoo hapa toroka uje, upige bia mbili tatu huku ukicheza cheza kidogoHii yenyewe umetunga
Yeye kakutaja wewe hajagusia wazazi wako๐ค๐คmtukane yy mfate PM toa gesi yote kifuani ila usifike kwa wazazi, wazazi wake ni wazazi wako jaribu kuweka mipaka bro kwa wazaz unafika mbali mazeeeMzee mi Nita fanya Ninacho ona sawa, I do shit kwa mtu as long kashindwa kuji heshimu.
Kisa kumuambia asi nizoee, ndo ana Anza kuni taja taja kila saa.halafu mbona hata Ile siku kaongea ila Nika vunga, these time acha niende kwa style yake.
Akiona katumia Sana, tukutane location ya live live hata saa hii,