Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #61
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mtt anacheza sugar sukarii 🎶🎶🎶🔥🔥🔥😄
Ndio hivyo, wakati mwingine uongo unasogeza sikuWaache wawe waongo tupate story

Kama wewe 😃Wanajifanya majike kumbe wana TEZI NDUME.
ha ha ha pata balimi kwa hisani ya mkoba wakoHivi kuna mtu anakuzidi wewe kwa chai humu.?? 😂😂😂
Nikisoma uzi nikiona ni ww naendelea na mambo mengine najua fix tyuuu hapa..!!!

Nilidhani umetaja angalau mmojaWakuu habari?
Natumaini wote mko wazima huku mkijiandaa kusherehekea ufufuko wa bwana.
Humu ndani kuna mabingwa wa kutunga nyuzi za uongo uongo; ukisoma mstari wa kwanza mpaka wa mwisho, unakuta hakuna uhalisia wowote.
Ebu tuwataje hawa mabingwa, ikiwezekana wapate pepsi kwa gharama ya mifuko yao.
Nipo pale, napata gahawa.
Twende kazi
Nimechek profile yako nikajua weee mwenyewe muongo muongo tuu [emoji23][emoji23][emoji23]

Wa kwanza wewe, wa pili yule Mjanja nini nini sijui.

Wakati mwingine teknolojia inasaidia kuondoa stress mkuuNaona mtt anacheza sugar sukarii 🎶🎶🎶🔥🔥🔥😄

Tayari wameshatajwa 😀Nilidhani umetaja angalau mmoja
Wakuu habari?
Natumaini wote mko wazima huku mkijiandaa kusherehekea ufufuko wa bwana.
Humu ndani kuna mabingwa wa kutunga nyuzi za uongo uongo; ukisoma mstari wa kwanza mpaka wa mwisho, unakuta hakuna uhalisia wowote.
Ebu tuwataje hawa mabingwa, ikiwezekana wapate pepsi kwa gharama ya mifuko yao.
Nipo pale, napata gahawa.
Twende kazi
Hii yenyewe umetungaEbu tikisa miguu na mikono![]()
![]()
Shida tuki kataa mazoea nao, Wana geuka haters.Intelligent businessman hajawahi kuandika chai, vungeni wadau
Chinga ktk Moja na mbiliKuna popoma Kuna Elon musk aka chagamba muomba afu tatu
😁😂🤣🤣😁😁😁😁 AfutatuChinga ktk Moja na mbili
Ebu njoo hapa toroka uje, upige bia mbili tatu huku ukicheza cheza kidogoHii yenyewe umetunga

Yeye kakutaja wewe hajagusia wazazi wako🤔🤔mtukane yy mfate PM toa gesi yote kifuani ila usifike kwa wazazi, wazazi wake ni wazazi wako jaribu kuweka mipaka bro kwa wazaz unafika mbali mazeeeMzee mi Nita fanya Ninacho ona sawa, I do shit kwa mtu as long kashindwa kuji heshimu.
Kisa kumuambia asi nizoee, ndo ana Anza kuni taja taja kila saa.halafu mbona hata Ile siku kaongea ila Nika vunga, these time acha niende kwa style yake.
Akiona katumia Sana, tukutane location ya live live hata saa hii,