Nae kutaka mawazo ya aina moja sifikiri kama ina afya kwenye ukuaji wa akili๐คComments sasa
Watu wengine bana hata ulete jambo zuri watajaribu waweke Strawman fallacy kuharibu maana mradi waingize negativity ndani yake. Karibu bongo
Tip haijalishi ni shingapi, buku ni hela nyingi mkuu..Hata kama ni ya buku TU fresh
Huyo ndio mumeo umemtuma aje kuquote comment yangu baada ya wewe kunikimbia? Au ndio ID yako nyingine?Sijui kama atakuelewa,
Ndio maana nakwambia kua una upumbavu uliopitiliza,endelea kuyapigia ramli maisha ya watu,Ukute hata wamekuwa wachapakazi na kujituma ili kujitofautisha na mama yao anayejiuza au asiyewajali.
Hiyo ni parenting,wewe hujui kitu,nchi kama Japan hua wanafundishwa toka chekechea,mnajazana ujinga mpaka mnaamini kua mtu akiwa straight basi ni miujiza imekuja yenyewe tu!Kuna watu waliacha na kuchukia pombe kabisa baada ya kuona madhara ya pombe kwa wazazi wao.
Bwashee umetuliza koo kweli leo hebu kapige moja moto moja baridi kisha urudi. Yaweza kuwa kweli hajazingatia mambo mengine ikiwemo sababu zilizopelekea hao mabinti wafanye kazi hio? wanapataje muda wa kusoma? je ni kweli hio ndio shughuli inayowaweka mjini? familia zao zimewaacha kiasi kwamba wafanye kazi hio? Lakini haina maana wanachofanya sio sahihiNae kutaka mawazo ya aina moja sifikiri kama ina afya kwenye ukuaji wa akili๐ค
Wanachofanya ni Matokeo ya kufeli kwa wazazi na serikali , lazima tuwaze tofauti mekuBwashee umetuliza koo kweli leo hebu kapige moja moto moja baridi kisha urudi. Yaweza kuwa kweli hajazingatia mambo mengine ikiwemo sababu zilizopelekea hao mabinti wafanye kazi hio? wanapataje muda wa kusoma? je ni kweli hio ndio shughuli inayowaweka mjini? familia zao zimewaacha kiasi kwamba wafanye kazi hio? Lakini haina maana wanachofanya sio sahihi
Ndio ishatokea sasa hapo kwa mtazamo wako unapendekeza wafanye nini hao mabinti? badala ya kuuza huo ulajiWanachofanya ni Matokeo ya kufeli kwa wazazi na serikali , lazima tuwaze tofauti meku
Bongo fursa sio nyingi, kama wameona nafasi kwenye mama ntilie nawaombea dua wafanikiwe.Ndio ishatokea sasa hapo kwa mtazamo wako unapendekeza wafanye nini hao mabinti? badala ya kuuza huo ulaji
Sishauri kitu, ila nashauri watu wazae kwa mpango .Ndio ishatokea sasa hapo kwa mtazamo wako unapendekeza wafanye nini hao mabinti? badala ya kuuza huo ulaji
Fanya urudi bongo ujionee si ulisema upo USA, baba anauza vikapu ana mke na watoto wanne, anatembea kutwa hajauza hata kikapu kimoja unafikiri hapo nini kinafuataSishauri kitu, ila nashauri watu wazae kwa mpango .
Usingekuja humu ningelia ๐Kupanga ni kuchagua, hao mabinti wameamua kujitafutia pesa zao.
Hata kama watakuwa na wapenzi lakini sio tegemezi na ndio dunia inataka hivyo..!!
Fursa ni nyingi sapoti ndio ndogo na kuna ugumu kuanzia 0 angalau ukianzia 1 inakuwa afadhali (sio rahisi lakini inakua afadhali)Bongo fursa sio nyingi, kama wameona nafasi kwenye mama ntilie nawaombea dua wafanikiwe.
Kabla ya 10 ilianza 1
JF wajuaji wengi ๐นComments sasa
Watu wengine bana hata ulete jambo zuri watajaribu waweke Strawman fallacy kuharibu maana mradi waingize negativity ndani yake. Karibu bongo
ExactlyNi bora serikali ingefundisha wanafunzi kuwa mama ntilie na baba ntilie kama wasomi kuwa hivyo ni kujitambua
Kwanini sasa ulie kipenzi? Eti eeh!!? ๐นUsingekuja humu ningelia ๐
Min yuko ๐บ๐ธ? ๐น๐นFanya urudi bongo ujionee si ulisema upo USA, baba anauza vikapu ana mke na watoto wanne, anatembea kutwa hajauza hata kikapu kimoja unafikiri hapo nini kinafuata
Wewe ndio mtetezi wa jinsia yenu humu mkiwa na kina ephenKwanini sasa ulie kipenzi? Eti eeh!!? ๐น