Ni uzembe wa mpango uzazi bwashee, fuatilia historia ya FinlandFanya urudi bongo ujionee si ulisema upo USA, baba anauza vikapu ana mke na watoto wanne, anatembea kutwa hajauza hata kikapu kimoja unafikiri hapo nini kinafuata
au nikutag uzi akimkoromea Diana Marry kuwa yuko USA ๐ฅฒMin yuko ๐บ๐ธ? ๐น๐น
Nipo buzaMin yuko ๐บ๐ธ? ๐น๐น
Kanuni ni ile ile, usimlete binadamu duniani kama unajua hutaweza kumhudumia mpaka pale atakapoweza kujitegemea kwa uhakika.Ni uzembe wa mpango uzazi bwashee, fuatilia historia ya Finland
Hao mabinti wanajitambua nimewapenda. Hakuna raha km mwanamke kutafuta pesa yako halali bila kutweza utu wako.Wewe ndio mtetezi wa jinsia yenu humu mkiwa na kina ephen
๐น๐น๐น๐น Kweli?au nikutag uzi akimkoromea Diana Marry kuwa yuko USA ๐ฅฒ
Ndio hivyo ukila vya watu lazima uliwe hata ukiwa umepoa kama kiporo.Hao mabinti wanajitambua nimewapenda. Hakuna raha km mwanamke kutafuta pesa yako halali bila kutweza utu wako.
Mambo ya chuo tunayafahamu, show off nyingi na kutaka kwenda na wakati lazima utumike..!!
Siweki nenoHabari waungwana, Leo nilienda saloon moja ambapo sio mbali sana na kilipo chuo kikubwa Cha serikali.
Wakati nikiwa hapo nahudumiwa Kuna kabinti akawa ameleta huduma ya mtori na chai Kwa hao wadada wa salon.
Basi baada ya yule muhudumu kuondoka ndo hao mabinti wa saluni wakawa wanasema kuwa huyu ikifika mchana anaenda chuo halafu anaingia yule mwenzanke basi bwana baada ya kusikia maongezi yao hivo nikawauliza Kwani huyu Binti ni mwanafunzi wakanijibu ndio ni mwanachuo wa hicho chuo Cha serikali hapo, wapo wawili wanapokezana kufanya kazi hapo muda ambao hawana masomo darasani wanapiga kazi hapo kwenye hicho kimgahawa hapo nje wameaajiriwa hapo kuosha vyombo, kuhudumia wateja kupika chapati chai, Baada ya kazi wanarudi zao hostel Maana wanaishi ndani ya hostel za chuo.
Pia aina ya.mgahawa ni kadogo sana tena kalichozungushiwa maturubai na viti hata havifiki hata 8 lakini mabinti wa watu wameamua kujitoa kumtafuta riziki zao
Hakika nilistaajabu Maana kwanza ni vibinti vidogo vizuri sana wanajituma vizuri na Kwa heshima sana pia hawajapenda kujikweza kama ilivo Kwa mabinti wengine ambao wanapenda Maisha ya shortcut huku wanasoma
Nikome mi diaspora wa Singapore ๐๐น๐น๐น๐น Kweli?
Dah! JF wote tuko abroad.
Si hata wewe ulisema uko Dubai au umesahau? ๐คฃ
Mbona pasono sana mwanangu ๐น๐นNipo buza
Naelekea buza kanisani najambiwa tu hapa kwenye mwendo kasiMbona pasono sana mwanangu ๐น๐น
๐บ๐ธ unakaa jimbo gani?
Kwa vpn wote tuko mambele ๐น๐นNikome mi diaspora wa Singapore ๐
Si ulinikataa ๐Kwa vpn wote tuko mambele ๐น๐น
Nitumie nauli basi nije kushangaa na mimi watu wa abroad..!!
๐น๐น๐น Shuka lumo tupate gambe..!!Naelekea buza kanisani nachambiwa tu hapa kwenye mwendo kasi
Ko unalipizia? ๐นSi ulinikataa ๐
Sawa๐น๐น๐น Shuka lumo tupate gambe..!!
Umewasifia sio mda mrefu hao mabinti kuwa wanajituma hawategemei men sahivi tena unaomba kulikoni mamtu ๐ kweli hii kitu mnayo damuniKo unalipizia? ๐น
Hao mabinti mi mshangazi ๐นUmewasifia sio mda mrefu hao mabinti kuwa wanajituma hawategemei men sahivi tena unaomba kulikoni mamtu ๐ kweli hii kitu mnayo damuni
Ungekuwa wewe usingeomba returns๐คHao mabinti mi mshangazi ๐น
Kwani kuomba kuna tatizo?
Tatizo unamuomba nani?
Kwani wewe ukinisaidia utaomba returns
Wale wenye makaliobora hawa wanaojituma kulko wale wanajiuza il wapat posho