Watakuwa mabinti kutoka kanda ya ziwa, zingekuwa zile mbwa za kipwani dizaini ya Wazaramo "n'tombe nikale" wasingeweza kazi hizo..Kuna mabinti naturally wanajitambua sana, pia na malezi mazuri yanachangia!
😀😀Watakuwa mabinti kutoka kanda ya ziwa, zingekuwa zile mbwa za kipwani dizaini ya Wazaramo ''n'tombe nikale'' wasingeweza kazi hizo..
Hata ngozi nyeupe hizo ni kazi wengi wanazofanya kujikimu wakati wanasoma. Nimeosha nao vyombo sana, kuwa servers migahawani, kufanya delivery, babysitting, kutembeza mbwa na paka, nk. Kusema hii ni kutojitambua kwa ngozi nyeusi ni kuonesha hujui mambo yanaendaje huko nje.Kuuza migahawa sio kujitambua, bado elimu haijawasaidia na haitatusaidia kamwe sisi ngozi nyeusi
Kwani chuo ni masomo muda wote saa 1 asubuhi mpaka saa 2 usiku kila siku Jumatatu hadi Ijumaa?Jiulize kwanza, chuo wanasoma saa ngapi?
Braza K ndo nani bintiWapeni kazi kwenye makampuni yenu basi..
Wewe hivi hata uzi umeusoma na kuuelewa kweli? Au ndo braza K?
Kwa hiyo umekua kama wale wa ndioooMimi nimeunga tu mkono hoja , mengine sijui.
Dah hii si sawa kabisa, ifike mahala wazazi wajisikie vibaya na kulea watoto kwa maadili. unasikini sio sababu ya mabinti kujidhalilisha hivi, wanajipunguzia heshima na kuishia kudhalilika tu!Watakuwa mabinti kutoka kanda ya ziwa, zingekuwa zile mbwa za kipwani dizaini ya Wazaramo "n'tombe nikale" wasingeweza kazi hizo..
Hakuna eneo lenye maadili mabovu km ukanda wa Pwani kutoka Pwani ya Tanga hadi Mikindani Mtwara..Dah hii si sawa kabisa, ifike mahala wazazi wajisikie vibaya na kulea watoto kwa maadili. unasikini sio sababu ya mabinti kujidhalilisha hivi, wanajipunguzia heshima na kuishia kudhalilika tu!
Kivipi mkuu?Hata malezi mabaya pia yanaweza kuchangia.
Uwapate ili iweje?Nataman ning pata mchumba kama hao maana wanaonekana wa kaz.sio kama hawa wanaosema uwaungie vocha ya jero
Kumbe huko sio sehemu sahihi ya kulelea watoto kabisa! Mungu anusuru hiki kizazi!Hakuna eneo lenye maadili mabovu km ukanda wa Pwani kutoka Pwani ya Tanga hadi Mikindani Mtwara..
Eneo gani lina maadili mazuri?Hakuna eneo lenye maadili mabovu km ukanda wa Pwani kutoka Pwani ya Tanga hadi Mikindani Mtwara..
Yan mzungu aoshe viombo labda useme wajinga wenzio ngoz ya tako, uko nje ulipoenda ww wapi kwanza ?Hata ngozi nyeupe hizo ni kazi wengi wanazofanya kujikimu wakati wanasoma. Nimeosha nao vyombo sana, kuwa servers migahawani, kufanya delivery, babysitting, kutembeza mbwa na paka, nk. Kusema hii ni kutojitambua kwa ngozi nyeusi ni kuonesha hujui mambo yanaendaje huko nje.
Ni sahihi, nilishawahi kufanya kazi ofisi moja mtu mmoja anaweza kukutip elfu 50-100! Nimekuelewa ni kulimgana na mqzingira pia! Kama malipo ni shilingi 5000 inamaana kupata hizo buku buku sio swala!Seran tip ya 1,000 inakushangaza? Kama analipwa 5,000 kwa siku, mkaja watu kumi kila mtu akampa 1,000 we unaonaje hapo?
mkuu, ukienda chuo kazi ni moja tu,kusoma. Masuala ya migahawa na kazi zingine wafanye ambao sio wanachuo. Muda wa kusoma anaupata wapi? Si ndio hawahawa huwa wanafaulishwa na wakufunzi kwa kutoa rushwa ya ngono? Au kama wanaona mgahawa ni bora sana kuliko chuo basi si waache chuo waendeleze mgahawa wao? Hatuwezi kuwa tunasifia kitu ambacho hakina afya kwa maendeleo ya mwanachuo yeye binafsi.Ninyi ndio mlishaweka commitment kuwa wa wanawake wote malaya na hamtaki kukubali vinginevyo sio?