Mabinti hivi miaka 22 mpaka 28 huwa mnadate na wakina nani mpaka mnashia kuwa single?

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
4,291
Reaction score
14,787
Hiyo miaka hapo ukicheza vibaya basi kimekulamba.

Unakutana na mabinti wazuri kila idara rika la miaka 29 na 30 Ila wanakesha kanisani kuomba waume

Sasa unajiuliza alipokuwa na miaka 22 (Yupo kwenye kilele cha usichana) alikosa mwanaume wa kumuoa kweli?

ITOSHE KUSEMA MKIWA KATIKA HILO RIKA MNACHAGUA SANA WANAUME

Miaka 22 hadi 26 utapata kijana mzuri tu wa kukuoa, Ila kuendelea hapo kupata Kijana wa kukuoa ni nadra labda mubaba
 
Mtoa mada usipende kuhukumu, kwenye mahusiano mara nyingi shida ni kuwa mtu unaemtaka humpati, ukimpata anakua kichomi ana tabia zisizovumilika, wengi waliooa na kuolewa msione kwamba wana raha sana wengi waliooa na kuolewa wame-settle baada ya wao kukosa machaguo yao, juma alitaka kumuoa Aisha ila hakueza mpata Aisha, Aisha alimkataa/Aisha mchunaji anapenda sana hela, Inabidi amuoe Salma,

jane anapenda kuolewa na denis ila denis hamtongozi/denis pasua kichwa inabidi aolewe na anthony joseph1989 Extrovert Intelligent businessman
 
Hiyo miaka hapo ukicheza vibaya basi kimekulamba.

Unakutana na mabinti wazuri kila idara rika la miaka 29 na 30 Ila wanakesha kanisani kuomba waume..
Sasa unajiuliza alipokuwa na miaka 22 (Yupo kwenye kilele cha usichana) alikosa mwanaume wa kumuoa kweli?
ITOSHE KUSEMA MKIWA KATIKA HILO RIKA MNACHAGUA SANA WANAUME
Miaka 22 hadi 26 utapata kijana mzuri tu wa kukuoa, Ila kuendelea hapo kupata Kijana wa kukuoa ni nadra labda mubaba.
Hapa wanachagua vijana baby face 🤣🤣🤣, akifikisha 30 yoyote tu
 
Mtoa mada usipende kuhukumu, kwenye mahusiano mara nyingi shida ni kuwa mtu unaemtaka humpati, ukimpata anakua kichomi ana tabia zisizovumilika, wengi waliooa na kuolewa msione kwamba wana raha sana wengi waliooa na kuolewa wame-settle baada ya wao kukosa machaguo yao, juma alitaka kumuoa Aisha ila hakueza mpata Aisha, Aisha alimkataa/Aisha mchunaji anapenda sana hela, Inabidi amuoe Salma,

jane anapenda kuolewa na denis ila denis hamtongozi/denis pasua kichwa inabidi aolewe na anthony joseph1989 Extrovert Intelligent businessman
Kwenye ndoa zao wengi wapo na wapenzi wa watu
 
Hiyo miaka hapo ukicheza vibaya basi kimekulamba.

Unakutana na mabinti wazuri kila idara rika la miaka 29 na 30 Ila wanakesha kanisani kuomba waume..
Sasa unajiuliza alipokuwa na miaka 22 (Yupo kwenye kilele cha usichana) alikosa mwanaume wa kumuoa kweli?
ITOSHE KUSEMA MKIWA KATIKA HILO RIKA MNACHAGUA SANA WANAUME
Miaka 22 hadi 26 utapata kijana mzuri tu wa kukuoa, Ila kuendelea hapo kupata Kijana wa kukuoa ni nadra labda mubaba.
Maneno kama haya nilimwambia Lamomy na @Labela pia nitamwambia
 
Je kama wengine hawataki tu kuolewa? We kwanini umekariri formula moja tu ya maisha halafu unataka na wengine waifuate hiyohiyo, Mbona wazungu wengi sana wanakuwa na maamuzi ya kutooa au kutoolewa hata kama wanapata waoaji? Halafu wao hamuwaoni kama wanakosea ati na mnawasifu

si lazima waishi vile utakavyo wewe sheikh,
 
Kweny3 peak yao, huwa wanajikuta sana, kishq wanapagawa na kelele zetu, atasifiwa mzuri, atapewa hela, atafanywa fanywa hajui umri unasogea, sasa akiwa mwisho wa ubora wake ndio ankumbuka kuna ndoa, na wakati huo thamani imepungua, wale rika lake hawana mpango nae tena, wanacheki dogo dogo.

Peak ya mwanamke ni kuanzia 17 mpaka 25 pale, 25 kwenda 30 inaanza kusua sua, inashuka mdogo mdogo, 30+ ndio balaa thamani inashuka kwa kasi, otherwise kuwe na factor nyinginezo zimbebe
 
Huo umri (22-28) wanasemaga hawataki kuolewa wanapambania ndoto au career zao.

Ukiwa bwege utajua kweli, kumbe hiyo ni zuga tu ya kuishi maisha ya hovyo bila kuwajibika kwa yoyote. 30 soko lishashuka anajishikiza kwa zoba mmoja wa kumfanya retirememt plan
 
Back
Top Bottom