Mabinti hivi miaka 22 mpaka 28 huwa mnadate na wakina nani mpaka mnashia kuwa single?

Mabinti hivi miaka 22 mpaka 28 huwa mnadate na wakina nani mpaka mnashia kuwa single?

Sio kuolewa tu
Kuolewa na muda ambao wana jf wanakupangia😄😄
Aisee ma mtumishi, oleweni tu tutawakuta ata 4rth floor huko! Sijui mnawahi nini ukakae na mwanaume una 22 mpk ufike 50s huna hamu😂😁

Hawa vijana wanajazana ushuzi aisee, wanaume wenzao haohao wanawageuka wanaoa mishangazi yao hiyo wanayoipinga mfyuuu!
 
Mtoa mada usipende kuhukumu, kwenye mahusiano mara nyingi shida ni kuwa mtu unaemtaka humpati, ukimpata anakua kichomi ana tabia zisizovumilika, wengi waliooa na kuolewa msione kwamba wana raha sana wengi waliooa na kuolewa wame-settle baada ya wao kukosa machaguo yao, juma alitaka kumuoa Aisha ila hakueza mpata Aisha, Aisha alimkataa/Aisha mchunaji anapenda sana hela, Inabidi amuoe Salma,

jane anapenda kuolewa na denis ila denis hamtongozi/denis pasua kichwa inabidi aolewe na anthony joseph1989 Extrovert Intelligent businessman
"Tunaishi na wapenzi wa watu wengine" - Linex

Hio interview ya Linex pale times fm ndio iliielezea hii mada kwa kina.
 
Aisee ma mtumishi, oleweni tu tutawakuta ata 4rth floor huko! Sijui mnawahi nini ukakae na mwanaume una 22 mpk ufike 50s huna hamu😂😁

Hawa vijana wanajaza ushuzi aisee, wanaume wenzao haohao wanawageuka wanaoa mishangazi yao hiyo wanayoipinga mfyuuu!
Hahaha
Yaani 22 mpk ufike 40 ,umechoka
Labda uwe umapatq mwanaume wa maana,maana wapo
Nje ya hapo utajutq😃😃
 
Nimepewa bure sasa kwanini niuze?
Wewe unauziwa 😹😹
Dai risiti ya EFD

Kuna la ziada zaidi ya kufua viboksa mchaniko 😹😹
Mimi huo upuuzi nimeukataa, pole km imekuuma ila habari ndo hiyo..!!
Una roho ngumu!.!

Marehemu shangazi alikuwa na mtazamo kama wako tena hata kuzaa hakutaka

Ila yule mwanamke alikufa mkavu peke yake sema ashukuru watoto wa kaka zake
 
Una roho ngumu!.!

Marehemu shangazi alikuwa na mtazamo kama wako tena hata kuzaa hakutaka

Ila yule mwanamke alikufa mkavu peke yake sema ashukuru watoto wa kaka zake
Wala sio lazima ni vile wabongo tunapenda kuzaliana wakati hata watoto wa ndugu unaweza kulea..!!
 
Kwa hiyo sasa hivi unaigawa bure tu bila ndoa, sema ulishakuwa Mshangazi
Nani alikudanganya kuolewa ni kwenda kufua boksa
Papuchi ya Lamomy ni ya moto na ya bei ******* yaani kwa mujibu wa mentality yake.
Tukaze buti ili tuikule kisawa sawa maana haina mwenyewe
Inajiendea tu yenyewe tu mtaani
Eti anatafutwa mwenye life namba F amabalo bado hata halijafikiwa na yeyote yule.
a.k.a tajiri.
 
Back
Top Bottom