Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
***** hilo achana naloHaya ndo maneno mnayotumia kujifariji mkishachuja
***** hilo achana naloHaya ndo maneno mnayotumia kujifariji mkishachuja
Rudia sentensi ya mwisho kisha ibold mkuu.Ukiifika miaka 28 hata 30 haimaanishi kuwa hautaolewa akija mtu sahihi kwenye maisha yako atakuoa haijalishi una miaka mingapi Nina rafiki yangu kaoa mwanamke mwenye miaka 34 Hadi Sasa wanamiaka 6 kwenye ndoa na wanamtoto mmoja kitu cha muhimu zaidi usidai ndoa Kama vile unadai deni maana wapo vijana wa ovyo wanaweza kutumia hitaji lako la ndoa Kama kete yao kukuchezea. Ukiona upo kwenye mahusiano ambayo hayana healthy usiforce kuendelea hapo ndio wanawake huwa wanapoteza muda wao
Hivi hii kusema binti anakuvumilia kwamba yeye anakua tajiri au kuna sehemu kuna utajiri kwa ajiri yake ila ameamua kuupotezea na kubaki kwenye shida na mwanaume.Shida yenu nyie vjana mnaowashangaa hao mabinti ati huwa mnataka mabinti wa kuwavumilia, kwamba huna kitu, binti akuvumilie ujitafute.
Single maza mwingine huyu🤣🤣Hivi kuna ulazima kuolewa? 😏
Nature wala haiitaji mwanamke awe stable kiuchumi ndio aolewe. Naturally mwanamke akiwa tu na miaka 18, maadili mazuri na clean past basi ndoa itamfata kabla hajavuka 25. Ukiona mwanamke kafika 26+ hajaolewa wala hayupo kwenye mahusiano ya maana ya muda mrefu, jua tu somewhere somehow she stepped out of nature alignmenthivi unajua kuna watu kiasili sio malaya ila hawajawahi kupata mume. Hao unawashauri nini.
Swali zuri sana. Hataki kuwa submssive wala complementor kwa mumewe. Sasa ana nini kingine cha ku-offer akiingia kwenye ndoa?Si ni upendo huo mama? au una kitu gani kingine cha kuoffer kwake
Weka picha😜We hujatembea, kuna chuma moja hivi ina 27 lakini ni moto yule ni 10 aseee
Anavyouliza utafikiri yeye ndie mwenye maamuzi ya ndoa mbele ya mwanaumeSingle maza mwingine huyu🤣🤣
Tusipende kuchukua mifano ya hawa wanawake waliolewa umri ukiwa ushaenda. Ukweli ni kwamba mwanamke anavyokaa mtaani bila kuolewa anazidi kualibika kimwili, kiakili na kihisia.Ukiifika miaka 28 hata 30 haimaanishi kuwa hautaolewa akija mtu sahihi kwenye maisha yako atakuoa haijalishi una miaka mingapi Nina rafiki yangu kaoa mwanamke mwenye miaka 34 Hadi Sasa wanamiaka 6 kwenye ndoa na wanamtoto mmoja kitu cha muhimu zaidi usidai ndoa Kama vile unadai deni maana wapo vijana wa ovyo wanaweza kutumia hitaji lako la ndoa Kama kete yao kukuchezea. Ukiona upo kwenye mahusiano ambayo hayana healthy usiforce kuendelea hapo ndio wanawake huwa wanapoteza muda wao
Hamna ulazima ila kwann wasumbue watu makanisani, ikiwa ni kweli hakuna ulazima.Hivi kuna ulazima kuolewa? 😏
Machepele mengi hapo 20 mpaka 22 kuendelea akifika 29 hadi 30 akili ndio inaanza kurudi reverseSasa unajiuliza alipokuwa na miaka 22 (Yupo kwenye kilele cha usichana) alikosa mwanaume wa kumuoa kweli?
You nailed it bro🙌Nature wala haiitaji mwanamke awe stable kiuchumi ndio aolewe. Naturally mwanamke akiwa tu na miaka 18, maadili mazuri na clean past basi ndoa itamfata kabla hajavuka 25. Ukiona mwanamke kafika 26+ hajaolewa wala hayupo kwenye mahusiano ya maana ya muda mrefu, jua tu somewhere somehow she stepped out of nature alignment
Suali: Unajua ni wanaume wangapi wako tayari kuingia katika ndoa au kuishi kiunyumba na mwanamke na kukaa katika nyumba inayomilikiwa na mwanamke/mke wake?Hiyo miaka hapo ukicheza vibaya basi kimekulamba.
Unakutana na mabinti wazuri kila idara rika la miaka 29 na 30 Ila wanakesha kanisani kuomba waume..
Sasa unajiuliza alipokuwa na miaka 22 (Yupo kwenye kilele cha usichana) alikosa mwanaume wa kumuoa kweli?
ITOSHE KUSEMA MKIWA KATIKA HILO RIKA MNACHAGUA SANA WANAUME
Miaka 22 hadi 26 utapata kijana mzuri tu wa kukuoa, Ila kuendelea hapo kupata Kijana wa kukuoa ni nadra labda mubaba.
Umeandika kwa hasira sana mbona?Wasengee hawa wanajua kila mwanamke anahitaji kuwa mtumwa na kutekeleza order za kipumbavu..!!
Yani nishazoea kupikiwa na kufuliwa na kutoa order then boom kijinga kimoja kianze kunipanda kichwani kichukue nafasi yangu?? Wengine hapana hatutaki 😹😹😹
Mambo yao hatuwezi kuwaachia wenyewe kwa sababu wanatusumbua wakianza kuzeeka bila kuolewa. Kwa hiyo tunakomaa nao kuwapa shule hadi waelewe
Niliishi na mwanake mmoja chuo alikuwa ma 23 Mimi 35 I think nikiwa nishaoa..yule mtoto alikuwa penz kama xxx movie angalia kweli kwenye 6*6 nilichokuja kugundua kumbe vidume kibao vimamvizia. Nikimpa tu nafasi anaenda kuliwa.Huo umri (22-28) wanasemaga hawataki kuolewa wanapambania ndoto au career zao.
Ukiwa bwege utajua kweli, kumbe hiyo ni zuga tu ya kuishi maisha ya hovyo bila kuwajibika kwa yoyote. 30 soko lishashuka anajishikiza kwa zoba mmoja wa kumfanya retirememt plan


Siku hizi ukijichanganya kidogo tu unawaolea washkaji mke wao.Ila shida pia vijana wa kiume saivi wamekuwa waoga kuoa, hivyo sioni kosa la mtoto wakike hapo.
Ngoja nimalize kucheck in nakurudia tulia hapo hapo…!!🤣🤣🤣 Sasa iniume nini, kutumika utumike wewe alafu niumie mie, sema umechakazwa na soko limeisha, nani atakuoa now ulishakuwa mshangazi unalea vijana