Mabinti hivi miaka 22 mpaka 28 huwa mnadate na wakina nani mpaka mnashia kuwa single?

Mabinti hivi miaka 22 mpaka 28 huwa mnadate na wakina nani mpaka mnashia kuwa single?

Sasa wee mwanaume ndo umekua msemaji wa wanawake?
Ndoa sio lazima, hii ni kujilisha upepo.
Nyie wanawake mliofikia umri wa dkk za mwisho hua hamtaki kuukubali ukweli 😂

Mnajifariji huku mkiwapoteza wasichana wadogo ili waje kuwa kama nyie via vya uzazi vimechoka kwa kupelekewa moto na kuachwa umri umesonga 😂

Na unaweza ukawa single mother hapo 😂
 
Wee Mpare em niache huko.
Iwe kweli ulivyosema au laah, bado hoja iko pale pale, Ndoa ni Hiyari.

Afu mbona malalamiko na kelele zinatoka kwenu nyie Wanaume, badala ya wanawake husika wenyewee.

Hamjistukiii? 😂😂😂😂😂
 
Mwanamke ukiwa bado msichana mdogo hakikisha unapata ndoa muda huo, Hakuna mwanaume anayejielewa atakubali kukuchukua wewe ushachuja dhiwa limelala kama ndala eti akuoe kwakua sijui sasa umetulia baada ya kufanya ujinga ukiwa kwenye peak
 
Wee Mpare em niache huko.
Iwe kweli ulivyosema au laah, bado hoja iko pale pale, Ndoa ni Hiyari.

Afu mbona malalamiko na kelele zinatoka kwenu nyie Wanaume, badala ya wanawake husika wenyewee.

Hamjistukiii? 😂😂😂😂😂
Hutak tuongee?
Kwan wanawake wanaolewa na wanawake wenzao au na wanaume?

Tulieni tuendelee kuwapiga miti na kuwaacha masingle mother mana hamna akili.
 
Hutak tuongee?
Kwan wanawake wanaolewa na wanawake wenzao au na wanaume?

Tulieni tuendelee kuwapiga miti na kuwaacha masingle mother mana hamna akili.
Sasa km nyie Wanaume mnapiga miti na kuwaacha single mother, hamuwaoi, na mnajua kuwa hawawezi olewa na wanawake wenzao, sasa hizi kelele zenu zinakujaje?

Wakati nyie wenye wajibu, hamtimizi?
 
Uzi ufungwe hili ndio jibu.
Huwa wako bize na vijana wale masharobaro wenye swaga lakini sio waowaji ni hit & run.
Pia wanakuwa na wazee wa kuwahonga pesa nyingi kwa hiyo wewe ukimfuata kwa lengo la kumuoa anakuona boya hata hakusikilizi
Ukweli mchungu ila acha uzi usonge songe huenda watapata kitu cha kutushitukia vijana wa hovyo hapa.
 
Nimepewa bure sasa kwanini niuze?
Wewe unauziwa 😹😹
Dai risiti ya EFD

Kuna la ziada zaidi ya kufua viboksa mchaniko 😹😹
Mimi huo upuuzi nimeukataa, pole km imekuuma ila habari ndo hiyo..!!
🤣🤣🤣 Sasa iniume nini, kutumika utumike wewe alafu niumie mie, sema umechakazwa na soko limeisha, nani atakuoa now ulishakuwa mshangazi unalea vijana
 
Sasa km nyie Wanaume mnapiga miti na kuwaacha single mother, hamuwaoi, na mnajua kuwa hawawezi olewa na wanawake wenzao, sasa hizi kelele zenu zinakujaje?

Wakati nyie wenye wajibu, hamtimizi?
Mngekuwa na akili msingeachwa single mother
 
Shida yenu nyie vjana mnaowashangaa hao mabinti ati huwa mnataka mabinti wa kuwavumilia, kwamba huna kitu, binti akuvumilie ujitafute.

Mpaka miaka 20 au hata 30 binti akijitunza vizuri mbona anaonekana bado yanki tu, sema shida yao wengi wanashenyentwa mno mno, na kuzalishwa juu hapo ndo tatizo.

Ila binti alieshenyentwa kiasi na kujitunza hata akiwa na 30 bado anakua na mvuto.
 
Hakuna anayeingilia, watu wanashauri tu. Ukiona jinsi wanawake wenye umri 26 hadi 35 wanavyotafuta ndoa kwa waganga na manabii basi tunaguswa kutoa mchango wa mawazo tu kua ukiwa kwenye peak ya uzuri usifanye biashara au fantasy za ngono na bad boys halafu baadae ukaanza kulialia kutafuta ndoa
hivi unajua kuna watu kiasili sio malaya ila hawajawahi kupata mume. Hao unawashauri nini.
 
Zaidi wengi hujikuta katika hali hiyo kwa sababu kadha wa kadha likiwemo pressure kutoka kwa wazazi na ndugu kwamba wao ndo wataidhinisha huyo kijana.

Hilo husababisha suala la pili ambalo hupelekea binti kuwa hajiamini na kukosa kuwa na msimamo kuhusu mwelekeo wake.

Hivyo utakuta akutana na mtu na kwa sababu ya masuala ya hapo juu wengine huambulia ujauzito usotarajiwa na Kama angalau ajira fulani huamua kuwa na mtoto na kijana akisema hayuko tiyari basi binti huishia kuwa single.

Ila wapo wasichana ambao wameamua liwalo na liwe na wengine wapo sokoni wauza bidhaa wote na baba na watoto wapo na maisha yaendelea.

Hivyo ni suala kuwa independent kwenye maamuzi Kama msichana wataka maisha ya aina gani ukimaliza chuo.

Ila ni kweli wasichana wa 22-29 wapo uzuri na hata Shemeji/ Wifi yenu wa mwisho nilimpata akiwa na 25 na nilimwona afaa tangu akiwa chuoni, nikatunza na akatunzika na akajitunza, khasa siku moja alipogundua namba yangu ya simu ni ya kutoka nchi fulani.

Ila yategemea pia na hali halisi ya kifamilia kwenye elimu, uchumi na jamaa na marafiki, maana aina zingine za familia hupelekea mabinti kuishia kuwa wasagaji au tu kutotaka wanaume bali azae tu awe single mum.
 
Ninapokutana na hizi mada huku nikijiangalia na miaka yangu 28 nachanganyikiwa sasa sijui nijioe au ???? Enewei
Bora ningezaliwa mwanaume
Ukiifika miaka 28 hata 30 haimaanishi kuwa hautaolewa akija mtu sahihi kwenye maisha yako atakuoa haijalishi una miaka mingapi Nina rafiki yangu kaoa mwanamke mwenye miaka 34 Hadi Sasa wanamiaka 6 kwenye ndoa na wanamtoto mmoja kitu cha muhimu zaidi usidai ndoa Kama vile unadai deni maana wapo vijana wa ovyo wanaweza kutumia hitaji lako la ndoa Kama kete yao kukuchezea. Ukiona upo kwenye mahusiano ambayo hayana healthy usiforce kuendelea hapo ndio wanawake huwa wanapoteza muda wao
 
Ninapokutana na hizi mada huku nikijiangalia na miaka yangu 28 nachanganyikiwa sasa sijui nijioe au ???? Enewei
Bora ningezaliwa mwanaume
Wife material hawezi kuvuka 25 hajaolewa. Kama past yako haina makando kando basi bila shaka ulichotwa akili na feminists waliokuambia career ni muhimu zaidi ya familia.

Bado una mwaka mmoja wa kuupigania. Tafuta simp mmoja jing'ang'anize
 
Ninapokutana na hizi mada huku nikijiangalia na miaka yangu 28 nachanganyikiwa sasa sijui nijioe au ???? Enewei
Bora ningezaliwa mwanaume
Kuna namna kuna jambo ulikosea ulipokuwa 21 - 26

Dada angu, kitu pekee kitakachokuokoa n kilometer (heshima ya mwili wako).

Achana na ile kujidanganya kwamba sina mileage nyingi, Ila nasemea mileage za uhalisia.

Sisi tunajua mwanamke anayetumika sana na yule asiyetumika, ww subir wakati sahihi tuu.
 
Back
Top Bottom